Happiness Essau
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 166
- 100
Haijengwi na JF ndugu[emoji4]Soko na stand mpya ya Kyairabwa mnaanza kujenga lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijengwi na JF ndugu[emoji4]Soko na stand mpya ya Kyairabwa mnaanza kujenga lini?
Okey, taarifa juu ya ujenzi wake zimefika wapi?Haijengwi na JF ndugu[emoji4]
Kuna pesa milioni mia kadhaa zimepatikana kutokana na mauzo ya viwanja zitatumika hizo kutengeneza floor na vitu vingine km vyoo ktk stand ya kyakailabwa, na kukaribishwa wawekezaji wadogo wadogo kujenga ofisi. Ujenzi wa soko bado pesa hazijapatikana!.Okey, taarifa juu ya ujenzi wake zimefika wapi?
Nashukuru mkuu je kuna plan wanaweza kuanza lini?Kuna pesa milioni mia kadhaa zimepatikana kutokana na mauzo ya viwanja zitatumika hizo kutengeneza floor na vitu vingine km vyoo ktk stand ya kyakailabwa, na kukaribishwa wawekezaji wadogo wadogo kujenga ofisi. Ujenzi wa soko bado pesa hazijapatikana!.
Bado. Ila itatangazwa rasmi kwaajili ya wawekezaji ambao watakua tayari kuwekeza ktk standNashukuru mkuu je kuna plan wanaweza kuanza lini?
hatariMhhhh...!!
Ni maajabu mkuu wangu, eti mradi uliosemwa kutumia bilioni kadhaa leo mtu anakwambia zipo mil mia kadhaa halafu wengine wachangie. Ukiuangalia ule mchoro then ukayafikiria haya, sie yetu macho na masikio.hatari
Stendi mbona hamujengi sasa miaka inaenda tuambie mnaanza lini?Bado. Ila itatangazwa rasmi kwaajili ya wawekezaji ambao watakua tayari kuwekeza ktk stand
Mi mwenyewe nashangaa sana sijui wanaanza lini?Ni maajabu mkuu wangu, eti mradi uliosemwa kutumia bilioni kadhaa leo mtu anakwambia zipo mil mia kadhaa halafu wengine wachangie. Ukiuangalia ule mchoro then ukayafikiria haya, sie yetu macho na masikio.
Ndugu yangu wenzio tulishashangaa na tulivyochoka tukaacha kushangaa tukaanza hatua ya pili ya kuzoea. Hao wala hata si watu wa kawaida kama zinavyoonekana sura zao, ni maajabu tu na nguvu za Mungu ndo vinavyosubiliwa ili kuuokoa mji huu. Elimu na visomo vyote vya binadamu walioko hapo vimefunikwa na barafu mpaka siku ikiweza kuyeyuka.Hivi mbona hamtwambii mnaanza lini stendi tarehe isemwe
Achana nao usipate BP bure, take your time. Hebu nambie hapo upo hadi lini make na mie niko njiani nije nikutafute tukae tuongee ya kwetu. Haya ya mji we waachie waliopewa kura.Stendi inajengwa lini
kwa mujibu wa tovuti ya halmashauri Announcement | Bukoba Municipal Council kuna hii tarifa na katika miradi inayokusudiwa ni stand na soko sasa sijui kwanini kinawashinda kujua tarehe ya ujenzi au hizi hela wamepeleka kwenye mambo mengineAchana nao usipate BP bure, take your time. Hebu nambie hapo upo hadi lini make na mie niko njiani nije nikutafute tukae tuongee ya kwetu. Haya ya mji we waachie waliopewa kura.
Dada haya yanayosemwa ya tangazo la Ded ni kweli juu ya pesa 1.6bn kwa ajiri ya miradi, ni miradi gani hiyo iliyokusudiwa na mbona hata wewe mwenyewe hujawahi kutuweka wazi hapa kwenye bango lenu la Tushirikishane ili Tushirikishane?Bado. Ila itatangazwa rasmi kwaajili ya wawekezaji ambao watakua tayari kuwekeza ktk stand