TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Okey, taarifa juu ya ujenzi wake zimefika wapi?
Kuna pesa milioni mia kadhaa zimepatikana kutokana na mauzo ya viwanja zitatumika hizo kutengeneza floor na vitu vingine km vyoo ktk stand ya kyakailabwa, na kukaribishwa wawekezaji wadogo wadogo kujenga ofisi. Ujenzi wa soko bado pesa hazijapatikana!.
 
Nashukuru mkuu je kuna plan wanaweza kuanza lini?
 
Ni maajabu mkuu wangu, eti mradi uliosemwa kutumia bilioni kadhaa leo mtu anakwambia zipo mil mia kadhaa halafu wengine wachangie. Ukiuangalia ule mchoro then ukayafikiria haya, sie yetu macho na masikio.
 
Mi mwenyewe nashangaa sana sijui wanaanza lini?
 
Nimefika bukoba juzi dalili zinaonyesha mji utakumbwa na msongamano mbaya sana kufikia 2020 kwa sababu ya barabara kuwa finyu na kutokuwepo na mipango ya upanuzi Wa mji mnaongeleaje jambo hili
 
Hivi mbona hamtwambii mnaanza lini stendi tarehe isemwe
 
Hivi mbona hamtwambii mnaanza lini stendi tarehe isemwe
Ndugu yangu wenzio tulishashangaa na tulivyochoka tukaacha kushangaa tukaanza hatua ya pili ya kuzoea. Hao wala hata si watu wa kawaida kama zinavyoonekana sura zao, ni maajabu tu na nguvu za Mungu ndo vinavyosubiliwa ili kuuokoa mji huu. Elimu na visomo vyote vya binadamu walioko hapo vimefunikwa na barafu mpaka siku ikiweza kuyeyuka.
 
Stendi inajengwa lini
Achana nao usipate BP bure, take your time. Hebu nambie hapo upo hadi lini make na mie niko njiani nije nikutafute tukae tuongee ya kwetu. Haya ya mji we waachie waliopewa kura.
 
Achana nao usipate BP bure, take your time. Hebu nambie hapo upo hadi lini make na mie niko njiani nije nikutafute tukae tuongee ya kwetu. Haya ya mji we waachie waliopewa kura.
kwa mujibu wa tovuti ya halmashauri Announcement | Bukoba Municipal Council kuna hii tarifa na katika miradi inayokusudiwa ni stand na soko sasa sijui kwanini kinawashinda kujua tarehe ya ujenzi au hizi hela wamepeleka kwenye mambo mengine

Tangazo kwa wananchi wote
12 April 2017

Yah: TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TZSHS.l,684,741,848.20

Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imepokea jumla ya shilingi bilioni moja mia sita themanini na nne milioni laki

saba arobaini na moja elfu mia nane arobaini na nane senti lshirinitu (1,684,741,848.20), kwa ajili ya utekelezaji wa

miradi ya uboreshaji Miji (ULGSP). Fedha hizo zitatumiwa kwa ajili ya miradi iliyokusudiwa.

MKURUGENZI WA MANSIPAA

BUKOBA
 
Hawa ndo viongozi waliochaguliwa. Hajabu hata kwenye mitandao haimo, kwenye tovuti za mbunge na meya wake wala hata hayasemwi. Hawa jamaa ni shida sana hapo manispaa, tena naamini ingekuwa ni wa CCM zingepewa hata 3bn sema ni upinzani anapewa nusu ya wenzao. We need development not politicizing. Let's vote for those who can make us receive enough fund to finance our projects and settle our plans.
 
Bado. Ila itatangazwa rasmi kwaajili ya wawekezaji ambao watakua tayari kuwekeza ktk stand
Dada haya yanayosemwa ya tangazo la Ded ni kweli juu ya pesa 1.6bn kwa ajiri ya miradi, ni miradi gani hiyo iliyokusudiwa na mbona hata wewe mwenyewe hujawahi kutuweka wazi hapa kwenye bango lenu la Tushirikishane ili Tushirikishane?
 
Back
Top Bottom