Happiness Essau
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 166
- 100
Hiyo pesa ni kweli, unaweza kutembelea website ya manispaa kwa ufafanuzi zaidi. Na taarifa ya miradi utaipata huko pia. Isipokuwa hizo pesa hazihusishi stand na soko ndiyo sababu sijazileta hapaDada haya yanayosemwa ya tangazo la Ded ni kweli juu ya pesa 1.6bn kwa ajiri ya miradi, ni miradi gani hiyo iliyokusudiwa na mbona hata wewe mwenyewe hujawahi kutuweka wazi hapa kwenye bango lenu la Tushirikishane ili Tushirikishane?
[emoji4]