TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

  1. Katika ziara ya mh. rais jana mkoani Kagera katika ufunguzi wa uwanja wa ndege Bukoba mh mbunge alisema kufika mwakani Januari 2018 stendi ya mabasi mpya itakuwa inafanya kazi
 
Hivi hakuna watu wenye akili wakstusaidia kutuletea hata tupicha kidogo tuone kinachosemwa mbona hapo Kyakailabwa ni karibu tu kutoka mjini. Tusiingie kwenye mtego hapa wa kusadikishwa wakati uwezo wa kutafiti tunao na tunaweza kuutafuta ukweli tukaupata
 
Wakati tunawahamasisha wawekezaji kujenga viwanda tusisahau na vyanzo vya malighafi, tuhamasishane vijana chini ya umri wa miaka 35 tuunde vikundi vya watu wasiopungua wa5, wajisajili kwa wakurugenzi, wachague aina ya mradi mzuri ama wa kilimo au ufugaji au ulanguzi au usindikaji wa mazao ya kilimo na mifugo na wakaombe mikopo itokanayo na 10% ya mapato ya ndani ya kila halmadhauri nchini. Hii itasaidia kuondoa tatizo kubwa la ajira kwa vijana nchini. Japo elimu ya ujasiriamali kwa vikundi bado inahitajika sana kwa jamii kwa sababu kama mnavyojua asilimia kubwa ya watanzania hatuna elimu/maarifa ya kutosha juu ya ujasiriamali.
 
Sawa. Vipi ujenzi wa kituo kipya cha mabasi kimefikia hatua gani make ulisema January matumizi yanaanza rasmi
 
Kiufupi ni kwamba mkandarasi mpaka sasa yupo site japo utekelezaji bado haujaanza na inasemekana ni tatizo la hali ya hewa ya mvua kubwa zinazoendelea ndani ya mji wa Bukoba.
 
Hizi ni porojo tu kwa wahaya mipango mingi lakin hakuna utekelezaji
 
Wahaya hamna kitu....wamejazana Mwanza na Dsm na kuacha mkoa wao ukiwa na magofu..kwao wanarudishwa kwnda kuzikwa tuu...wachaga wametawanyika lakn shart kwao wapakumbuke mwisho wa mwaka... na kufunga mahesabu mezani kwa mzee na ndo mana moshi na bukoba ni kama mbigu na dunia
 
Acha porojo kama huna cha kuongea sio lazima uchangie, kwan moshi kuna nini cha kustaabisha wakati wachagga na wenyewe wanpakimbia kwao. Hapa watu wa kagera wanajadili jinsi ya kusukuma maendeleo ya mkoa wao wewe unakuja na wivu pamoja na sifa zako za kijinga bila shaka utakuwa mchagga
 
Yaani mko busy mnaongea ya kwenu eti mwingine anaingilia na kuanza kusimulia ya aliko yeye, watu wa hivi huwa wanawashwa. Sasa sie tuko na ya kwetu yeye kakimbilia ya moshi, kwani bukoba ni moshi? Kwanini tuhame mada yetu kwa upuuzi wa mpuuzi mmoja? ndo maana Mwalimu alituhasa kuhusu watu wapuuzi kukwambia kitu cha kijinga na unajua ni cha kijinga lakini ukakikubali basi utakuwa mjinga sana.
 
Kiufupi ni kwamba mkandarasi mpaka sasa yupo site japo utekelezaji bado haujaanza na inasemekana ni tatizo la hali ya hewa ya mvua kubwa zinazoendelea ndani ya mji wa Bukoba.
Mlioko karibu tunaomba muwe mnatupa update jinsi mradi unavyoendelea
 
Back
Top Bottom