nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 574
- 834
Sisi hatutaki mijadala huru tunataka Maendeleo, lwakatare umefanya nini mpaka sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuzungumziwa havizungumziwi siku hiziHivi stendi na soko vimefikia wapi?
Tatizo mliyasahau maneno ya wazee "kosa si kosa bali kurudia kosa" Lwakatare kurudi lilikuwa ni kosa lisilo na msamahaHata kuzungumziwa havizungumziwi siku hizi
Hivi hakuna watu wenye akili wakstusaidia kutuletea hata tupicha kidogo tuone kinachosemwa mbona hapo Kyakailabwa ni karibu tu kutoka mjini. Tusiingie kwenye mtego hapa wa kusadikishwa wakati uwezo wa kutafiti tunao na tunaweza kuutafuta ukweli tukaupata
- Katika ziara ya mh. rais jana mkoani Kagera katika ufunguzi wa uwanja wa ndege Bukoba mh mbunge alisema kufika mwakani Januari 2018 stendi ya mabasi mpya itakuwa inafanya kazi
Hulijui ulisemalo.. nafikiri ukikua utaachaHuo mkoa kila mtu ni mjuaji ndo maana maendeleo zero
Sijui kivipi wakati ndo nyumbaniHulijui ulisemalo.. nafikiri ukikua utaacha
Mkuu umeasidiaje kama kama unalijua tatizo???Huo mkoa kila mtu ni mjuaji ndo maana maendeleo zero
Hulijui ulisemalo.. nafikiri ukikua utaacha
Sawa. Vipi ujenzi wa kituo kipya cha mabasi kimefikia hatua gani make ulisema January matumizi yanaanza rasmiWakati tunawahamasisha wawekezaji kujenga viwanda tusisahau na vyanzo vya malighafi, tuhamasishane vijana chini ya umri wa miaka 35 tuunde vikundi vya watu wasiopungua wa5, wajisajili kwa wakurugenzi, wachague aina ya mradi mzuri ama wa kilimo au ufugaji au ulanguzi au usindikaji wa mazao ya kilimo na mifugo na wakaombe mikopo itokanayo na 10% ya mapato ya ndani ya kila halmadhauri nchini. Hii itasaidia kuondoa tatizo kubwa la ajira kwa vijana nchini. Japo elimu ya ujasiriamali kwa vikundi bado inahitajika sana kwa jamii kwa sababu kama mnavyojua asilimia kubwa ya watanzania hatuna elimu/maarifa ya kutosha juu ya ujasiriamali.
Nilisema!!!? mimi au umenifananisha?Sawa. Vipi ujenzi wa kituo kipya cha mabasi kimefikia hatua gani make ulisema January matumizi yanaanza rasmi
Kiufupi ni kwamba mkandarasi mpaka sasa yupo site japo utekelezaji bado haujaanza na inasemekana ni tatizo la hali ya hewa ya mvua kubwa zinazoendelea ndani ya mji wa Bukoba.Sawa. Vipi ujenzi wa kituo kipya cha mabasi kimefikia hatua gani make ulisema January matumizi yanaanza rasmi
Acha porojo kama huna cha kuongea sio lazima uchangie, kwan moshi kuna nini cha kustaabisha wakati wachagga na wenyewe wanpakimbia kwao. Hapa watu wa kagera wanajadili jinsi ya kusukuma maendeleo ya mkoa wao wewe unakuja na wivu pamoja na sifa zako za kijinga bila shaka utakuwa mchaggaWahaya hamna kitu....wamejazana Mwanza na Dsm na kuacha mkoa wao ukiwa na magofu..kwao wanarudishwa kwnda kuzikwa tuu...wachaga wametawanyika lakn shart kwao wapakumbuke mwisho wa mwaka... na kufunga mahesabu mezani kwa mzee na ndo mana moshi na bukoba ni kama mbigu na dunia
Yaani mko busy mnaongea ya kwenu eti mwingine anaingilia na kuanza kusimulia ya aliko yeye, watu wa hivi huwa wanawashwa. Sasa sie tuko na ya kwetu yeye kakimbilia ya moshi, kwani bukoba ni moshi? Kwanini tuhame mada yetu kwa upuuzi wa mpuuzi mmoja? ndo maana Mwalimu alituhasa kuhusu watu wapuuzi kukwambia kitu cha kijinga na unajua ni cha kijinga lakini ukakikubali basi utakuwa mjinga sana.Acha porojo kama huna cha kuongea sio lazima uchangie, kwan moshi kuna nini cha kustaabisha wakati wachagga na wenyewe wanpakimbia kwao. Hapa watu wa kagera wanajadili jinsi ya kusukuma maendeleo ya mkoa wao wewe unakuja na wivu pamoja na sifa zako za kijinga bila shaka utakuwa mchagga
Mlioko karibu tunaomba muwe mnatupa update jinsi mradi unavyoendeleaKiufupi ni kwamba mkandarasi mpaka sasa yupo site japo utekelezaji bado haujaanza na inasemekana ni tatizo la hali ya hewa ya mvua kubwa zinazoendelea ndani ya mji wa Bukoba.
Ondoa shaka kaka.Mlioko karibu tunaomba muwe mnatupa update jinsi mradi unavyoendelea