mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwa kweli inauma sana kwa CR7!! Itabidi alikubali tu hilo na ikiwezekana ampongeze mhasimu wake Messi kwa kufanikiwa kutwaa kombe la dunia!!

Mi nilikuja kujua hii world cup ni ya mchongo kwenye lile goli la japan vs Spain na ile penalty ya Argentina dhidi ya Netherlands nikajua hizi VAR ni za mchongo hamna kitu hatimae messi kapewa kombe na wanaojua biashara.Mjadala huu ungeisha vizuri.. kama ronaldo na yeye angekuwa amepewa penalty katika mechi zote za mtoano.
Kila mechi ureno angekuwa anapewa goli moja la penalty.
Maana argentina kila mechi alikuwa anapewa penalty.
Ukicheza na argentina ujue kabisa upo nyuma moja bila. Maana goli la penalty lazima apewe..
Ronaldo nae angepata hii advantage mjadala ungekuwa umeisha..
Ila mjadala hauwezi kuisha kwa mmoja kubebwa na ma refaree na Fifa. Huku mwingine hajabebwa.
Ili mjadala uishe ronaldo na yeye apewe penalty 6. Katika mechi 6 tofauti tofauti . Maana mwenzake kapewa penalty 6 katika mechi tofauti tofauti ndani ya dakika 90.
Kweli kabisa penalty 6 kwenye kila mechi penalty moja hapo kweli Ronaldo hamuwezi messi.Kama kuna mtu aliumia sana jana ni CR7!! Hana namna ya kuifikia rekodi ya Messi ya kuongoza nchi yake kubeba kombe la dunia, ukizingatia kuwa keshaanza kupoteza namba kwenye first eleven ya Ureno na ni majaliwa kuwaza kuwa ataweza kushiriki fainali za kombe la dunia za 2026!!
Kunywa maji mengi mkuu moyo uelee..una makasiriko ya hal ya juu sanaa..yaan kwa mtizamo wako ulita kila penalt ikitokea Mess afanyiwe sub ndo ipigweMjadala huu ungeisha vizuri.. kama ronaldo na yeye angekuwa amepewa penalty katika mechi zote za mtoano.
Kila mechi ureno angekuwa anapewa goli moja la penalty.
Maana argentina kila mechi alikuwa anapewa penalty.
Ukicheza na argentina ujue kabisa upo nyuma moja bila. Maana goli la penalty lazima apewe..
Ronaldo nae angepata hii advantage mjadala ungekuwa umeisha..
Ila mjadala hauwezi kuisha kwa mmoja kubebwa na ma refaree na Fifa. Huku mwingine hajabebwa.
Ili mjadala uishe ronaldo na yeye apewe penalty 6. Katika mechi 6 tofauti tofauti . Maana mwenzake kapewa penalty 6 katika mechi tofauti tofauti ndani ya dakika 90.
Kunywa maji mengi mkuu moyo uelee..una makasiriko ya hal ya juu sanaa..yaan kwa mtizamo wako ulita kila penalt ikitokea Mess afanyiwe sub ndo ipigwe
Soma ulichoandika afu ujitathimin kama umeandika kishabik au kimihemkoMakasiriko ya nini.. ronaldo wala messi simjui zaidi ya kumuona kwenye Tv. Sipati faida wala hasara yeyote kutokana na wao.
Watu wapumbavu ndio wanaumizwa na yasiyowapa faida maishani..
Mpira ni burudani.. ni sawa na muziki ama filamu.. haitakiwi kiwe kitu cha kukupa makasiriko.
Makasiriko unapaswa kupata kwenye vitu vinayogusa maisha yako moja kwa moja.. kama familia yako, biashara yako, ajira yako etc.
Mimi nimejibu hoja kiushabiki wa burudani.. wewe unaiweka kwenye makasiriko kama kwamba mpira ni kitu personal cha kumpa mtu hasira
Officer wa FIFA akimbeba messiMjadala huu ungeisha vizuri.. kama ronaldo na yeye angekuwa amepewa penalty katika mechi zote za mtoano.
Kila mechi ureno angekuwa anapewa goli moja la penalty.
Maana argentina kila mechi alikuwa anapewa penalty.
Ukicheza na argentina ujue kabisa upo nyuma moja bila. Maana goli la penalty lazima apewe..
Ronaldo nae angepata hii advantage mjadala ungekuwa umeisha..
Ila mjadala hauwezi kuisha kwa mmoja kubebwa na ma refaree na Fifa. Huku mwingine hajabebwa.
Ili mjadala uishe ronaldo na yeye apewe penalty 6. Katika mechi 6 tofauti tofauti . Maana mwenzake kapewa penalty 6 katika mechi tofauti tofauti ndani ya dakika 90.
case clossed, now messi yuko level za maradona na pele, mjadala uhamia kati ya mbape na ronaldo nani mkali.. mi naona mbape mkali.. ana skills ana mbio anajua kufunga.Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo.
Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba vya ubishi endeleeni mimi simo!
Mjadala huu ungeisha vizuri.. kama ronaldo na yeye angekuwa amepewa penalty katika mechi zote za mtoano.
Kila mechi ureno angekuwa anapewa goli moja la penalty.
Maana argentina kila mechi alikuwa anapewa penalty.
Ukicheza na argentina ujue kabisa upo nyuma moja bila. Maana goli la penalty lazima apewe..
Ronaldo nae angepata hii advantage mjadala ungekuwa umeisha..
Ila mjadala hauwezi kuisha kwa mmoja kubebwa na ma refaree na Fifa. Huku mwingine hajabebwa.
Ili mjadala uishe ronaldo na yeye apewe penalty 6. Katika mechi 6 tofauti tofauti . Maana mwenzake kapewa penalty 6 katika mechi tofauti tofauti ndani ya dakika 90.
Mwana umepost hii comment tangu December 19, 2022 lakini mpaka wa leo hamna Mwana aliye like comment yako hii, tatizo nini?Mjadala huu ungeisha vizuri.. kama ronaldo na yeye angekuwa amepewa penalty katika mechi zote za mtoano.