Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga wengi nchi hii pamoja na huyu eti nchi ya kwanza duniani kwa kila kitu inaionea wivu nchi ya mwisho duniani kwa kila kitu, sawa na Mo Dewji (anisamehe) amwonee wivu Matonya kwa style yake ya kupata fedha.Marekani wanatuonea wivu
Watetezi wa muuaji hamkai mbali!Huyo waziri wa mambo ya nje ya Marekani anaongea kama nani?. na ni nani kampa hayo mamlaka wakati ni waziri tu wa nchi moja mwanachama wa UN?.
Nani kamkuhumu au anatarajia kumhukumu Donald Trump kwa kutuma wanajeshi wamuue General Kassim kule Iraq?, tujitahidi tuachane na huu utumwa wa mawazo.
Marekani haijawa ni nchi ambayo mwanadamu kapewa na Mungu kwa kuambiwa kwamba wao ni wasamehewa dhambi na wenye sifa maalum ya kuhumu dunia nzima.
Je,ni kweli makonda ni muuaji?Kama ndiyo basi hata hiyo kupigwa ban kuingia US ni kidogo mno,waje wamchukue wakampoteze wajuako!Mike Pompeo Boss wa taasisi wa Kijasusi Marekani amekuja na hoja nzito ya zuio la RC Makonda kuingia Marekani bila kuweka wazi sababu.
Pengine, Pompeo na watetezi wa Pompeo hapa Tanzania watusaidie kuwa fair.
Taarifa ya CiA chini na Gina Hispel ilithibitisha pasi chembe ya mashaka mwana wa Mfalme wa Saudia alihusika na kutoa order ya kuuwawa Jamal Khashoggi.
Pompeo mbona hajawahi kutoa zuio la Mohamed bin Salam aka MBS kuingia Marekani? Au kutaka ICJ ichukue mkondo wa jambo hili, ili baada ya hapo, awe na moral authority katazo la kwa Paul Christian Makonda.??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwenye Makonda ni mchapa kaziUkija hapa Tanzania utaambiwa na serikali ya CCM kuwa Paul Makonda ni moja ya watu muhimu, wachapa kazi
CHADEMA sema poo! Makonda amewashinda! mmemchongea wee, mmesaidiwa na Gwajima mpaka yeye akaita poo, nyinyi mpo tu! Mmemshindwa sasa mnafikiri ya marekani itawasaidia! Marekani walichunguza wakakuta ushahidi wenu unapwaya wameyaacha!Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.
Ukija hapa Tanzania utaambiwa na serikali ya CCM kuwa Paul Makonda ni moja ya watu muhimu, wachapa kazi, na mbaya zaidi alifanikiwa kuwa " fool" viongozi wa dini nao wakamuamini. Tunajiuliza ni kwanini akumbatiwe sana na Rais Magufuli?
Hawa marehemu saa hizi wanamtokea DAB.Ndio yeye ni mchapa kazi kwani hujaona alivyo mchapa Lissu Anzory Saa8 na wengineo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama alitumwa kuuwa na Mamlaka za juu ?Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.
Ukija hapa Tanzania utaambiwa na serikali ya CCM kuwa Paul Makonda ni moja ya watu muhimu, wachapa kazi, na mbaya zaidi alifanikiwa kuwa " fool" viongozi wa dini nao wakamuamini. Tunajiuliza ni kwanini akumbatiwe sana na Rais Magufuli?
Kwa waganga anaowakusanya sidhani kama anapata majinamizi , kiunoni ana hirizi si ya nchi hii !Hawa marehemu saa hizi wanamtokea DAB.
Atakuwa anaweweseka sana usiku huyu muuaji