Mjane ananipenda sana

Mjane ananipenda sana

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakuu,

Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.

Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi.

Mtu kama huyu namfanyanje maana kwa kumheshimu naona anaanza kunikashifu maana mara ya mwisho kwa masikio yangu nimemsikia akisema aah huyu mbona hanielewi huyu sijui yukoje.

Sio kwamba simuelewi ila tatizo ni kwamba namheshimu sana kwa age difference.
 
Wakuu,

Mita mia mbili na hamsini hivi.

Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.

Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao.

She is older ila mrembo haswa.

Sass kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi.

Mtu kama huyu namfanyanje maana kwa kumheshimu naona anaanza kunikashifu maana mara ya mwisho kwa masikio yangu nimemsikia akisema aah huyu mbona hanielewi huyu sijui yukoje.

Sio kwamba simuelewi ila tatizo ni kwamba namheshimu sana kwa age difference.
Mkuu punguza spidi ya kusukuma kete....
Ila tatizo hapo itakuwa huo uzuri na kama anaumbo mashaallah ndio basi tena 😂😂😂......

Usipokuwa makini hiyo ndoano utaimeza aisee na hv hawakuoni na mwanamke mwengine.......

Hawa wamama wa miaka ya kati hapa ukikuta msanii msanii mambo yatakuwa mengine....

JARIBU KUWA MNYENYEKEVU TU....Acha tukucheke ila uokoe roho yako👣
 
Huyu ni mboga kabisa kule gamboshi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom