Mjane ananipenda sana

Mjane ananipenda sana

Sababu ya kuomba ushauri ni katika kuhakikisha kwamba siumizi feelings zake na pia mimi nikibakia na mahusiano mazuri naye

But unfortunately bado sijapata ushauri nao uhitaji.
Matokeo yake unaumiza feelings za wana jf
 
Wakuu,

Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sass kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi.

Mtu kama huyu namfanyanje maana kwa kumheshimu naona anaanza kunikashifu maana mara ya mwisho kwa masikio yangu nimemsikia akisema aah huyu mbona hanielewi huyu sijui yukoje.

Sio kwamba simuelewi ila tatizo ni kwamba namheshimu sana kwa age difference.

Kama hujaoa nakushauri usiingie kwenye mahusiano na huyo mama. Utapotea mazima
 
Wakuu,

Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.

Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi.

Mtu kama huyu namfanyanje maana kwa kumheshimu naona anaanza kunikashifu maana mara ya mwisho kwa masikio yangu nimemsikia akisema aah huyu mbona hanielewi huyu sijui yukoje.

Sio kwamba simuelewi ila tatizo ni kwamba namheshimu sana kwa age difference.
Unajua mmewe alifariki kwa ugonjwa gani?
Na uelewe dawa bado haijapatikana
 
Wajane wanakuwaga na waya,kuwa makini utanasa kisa "nyembu".
 
Be careful,
BInafs nikishaskia mwanamke, afu mmewe alifariki kwa kuumwa na sio ajali.

Apo nywele zote zinanisisimka[emoji848]
 
Back
Top Bottom