Mjane ananipenda sana

Sababu ya kuomba ushauri ni katika kuhakikisha kwamba siumizi feelings zake na pia mimi nikibakia na mahusiano mazuri naye

But unfortunately bado sijapata ushauri nao uhitaji.
Matokeo yake unaumiza feelings za wana jf
 

Kama hujaoa nakushauri usiingie kwenye mahusiano na huyo mama. Utapotea mazima
 
Sikilizia moyo wako kisha fanya maamuzi magumu kama Mwanaume.
 
Unajua mmewe alifariki kwa ugonjwa gani?
Na uelewe dawa bado haijapatikana
 
Wajane wanakuwaga na waya,kuwa makini utanasa kisa "nyembu".
 
Be careful,
BInafs nikishaskia mwanamke, afu mmewe alifariki kwa kuumwa na sio ajali.

Apo nywele zote zinanisisimka[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…