Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
🤣🤣🤣 mambo ya kusemana yameanza lini jf..Wana Rice cooker , na sahani mbili tatu, Wana Subwoofer ,nguo zimetundikwa ukutan ,unaweza dhan umeingia kwenye kiwanda Cha Ngozi
Eti nguo zimetundikwa kama kiwanda cha ngozi daaah we jamaa