Aliondolewa kwenye nyumba Rasmi ya makamu wa RaisAliyekuwa makamu wa Raisi awamu ya Mkapa (Omar Ali Juma), baada ya kufariki familia yake ilitolewa kwenye nyumba Oysterbay.
Serikali hailei wajane, inawahifadhi watumishi wake tuu. Utumishi ukiisha huduma zinakatwa in exception to President, Jaji mkuu na Spika.
Correct me where erroneously stated.
Kuna stahili zao viongozi wa juu wanapata kama hakuwahi kujenga anajengewa,kama ilivyokuwa kwa marehemu spika.Adam Sapi Mkwawa
Huyo mjane wa Sepetu alipe tu