YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mkataba wowote wa kupanga duniani kote huji ona kipengele chochote kinachotamka kwamba utaendelea kuwa mpangaji by default mkataba ukiisha!!! Hakipo na hakitakuwepoNikisema kurithi sio mali ya familia hiyo ni kwamba mnapewa priority by default kuendelea na mkataba. Sio Tanzania tu ipo ivyo duniani kote.
mpangaji unatakiwa uusome mkataba uuelewe.USIANGALIE SIJUI TAMKO LA WAZIRI ohh sijui mila na desturi zilizozoeleka !!! soma mkataba wa kupanga unasema nini
Huo mkataba wa kupanga sio wa huyo mama wala sio wa familia.ALIYEINGIA MKATABA NI JUDGE SEPETU full stop.Hao wengine hauwahusu wawe wake wawe watoto.Wakihitaji wanaomba tu kama watu wengine wakikubaliwa sawa wakikataliwa sawa sio nyumba yao ya urithi hiyo.Kwanza hata sina uhakika kama mirathi ilishafunguliwa au bado .Lkini hata kama mirathi ilishafunguliwa hiyo nyumba haimo kwenye vitu vya mirathi kuwa watarithi nyumba ya kupanga ya Jaji Sepetu!!!
Frustration sio sababu ya kuvunja mkataba au kuharibu mali za serikali hasira zake alitakiwa akazimalizie kwingine sio kwenye mali ya serikali.
kama kufiwa wanawake wazanzibari wengi tu mbona wanafiwa yeye sio wa kwanza na mikataba ya nyumba ikiisha hufunga virago au wao kuomba upya kuwa wapangaji ziwe za serikali au za watu binafsi hawafanyi uharibifu kwenye hizo nyumba.
No way adakwe tu na aonyeshwe cha mtema kuni