Aliondolewa kwenye nyumba Rasmi ya makamu wa RaisAliyekuwa makamu wa Raisi awamu ya Mkapa (Omar Ali Juma), baada ya kufariki familia yake ilitolewa kwenye nyumba Oysterbay.
Serikali hailei wajane, inawahifadhi watumishi wake tuu. Utumishi ukiisha huduma zinakatwa in exception to President, Jaji mkuu na Spika.
Correct me where erroneously stated.
Tafuta hela ili swala la kuwazia mb lisiwe Jambo kabisa kwakoMb 16?
Nyumba ya serikali unayopewa kutokana na kazi yako,si nyumba ya kudumu,ukihama kikazi au kufariki familia.lazima ihameAlichofanyiwa huyo mjane ni uonevu hata bara huu mchezo ulitaka kukithiri Nehemia akastuliwa wafanyakazi wa chini wakaanza uoga, hila bado upo upo unakuta mtu anapigwa kodi kubwa hatari ukiona ivyo kuna mtu anataka nyumba
Na wewe mumeo wako yupo mnakula Bata hapo mikocheni nyumba za mawaziri au ndo nisiingilie maisha yenu[emoji14]Aliyekuwa makamu wa Raisi awamu ya Mkapa (Omar Ali Juma), baada ya kufariki familia yake ilitolewa kwenye nyumba Oysterbay.
Serikali hailei wajane, inawahifadhi watumishi wake tuu. Utumishi ukiisha huduma zinakatwa in exception to President, Jaji mkuu na Spika.
Correct me where erroneously stated.
Nyumba ya serikali unayopewa kutokana na kazi yako,si nyumba ya kudumu,ukihama kikazi au kufariki familia.lazima ihame
Tofautisha kati.ya nyumba ya serikali uliopewa kutokana.na kazi yako na nyumba ya serikali uliopanga na kulipa kodi
Umeusoma huo mkataba wenyewe?Mtu anakuwekea na picha kabisa ya mkataba ni nyumba ya ZHC lakini bado umekazana nyumba ya serikali kapewa.
Umezaliwa kupenda kubisha tu inaonekana, vitu vingine ni self explanatory.Umeusoma huo mkataba wenyewe?
Huyu Jaji alioa illiterte, mwanamke ambaye hakwenda shule, otherwise angalitambua kuwa nyumba ya serikali inakaliwa ukiwa mtumishi wake na si vinginevyo! Jaji Mkuu unashindwa kujenga na shahara mkubwa hivyo, marupurupu, na "rushwa"?????? (kwani hawali rushwa kwa kesi kubwa kubwa) zote. Walishindwa kuwa na akili ya kung'amua/thinking kuwa hapa siyo kwetu tujenge angalau nyumba ya kawaida tu, acha maghorofa ya mamiloni!Aliyekuwa makamu wa Raisi awamu ya Mkapa (Omar Ali Juma), baada ya kufariki familia yake ilitolewa kwenye nyumba Oysterbay.
Serikali hailei wajane, inawahifadhi watumishi wake tuu. Utumishi ukiisha huduma zinakatwa in exception to President, Jaji mkuu na Spika.
Correct me where erroneously stated.
Udwanzi mkuu mb zote hizo zinaonesha uharibufu aliingiza tingatinga nini?Mb 16?
Ndio maana nimekuuliza umeuona mkataba?wewe unalalia kwwnye maelezo ya mtuhumiwa,mbona.amekimbia kama amekua.akitii upande wa contract.Umezaliwa kupenda kubisha tu inaonekana, vitu vingine ni self explanatory.
Maelezo yake yanaashiria amekuwa akitii upande wa contract performance bila ya kuona mkataba.
It’s a start walau unatambua sio nyumba iliyo chini ya hazina ambazo watu mntakiwa mpishane kazi inapokoma. Hiyo ni nyumba iliyokodiwa ZHC privately.Ndio maana nimekuuliza umeuona mkataba?wewe unalalia kwwnye maelezo ya mtuhumiwa,mbona.amekimbia kama amekua.akitii upande wa contract
Hao ZHC si wajinga kumtafuta mtu huku qakijua hawana haki ya kimkataba kufanya hivyo
Halafu huyo.mjane atakua ana.stress tu,ameng'oa tiles ameenda kuzibandika wapi!
Hapo ndipo unapokoseabased on my understanding from other contracts exchanges)
Ajabu kubwa, maana alipanda ngazi kidogo kidogo na mshahara na rushwa, marupurupu... hakimu (for over 15 yrs) kuja kuwa Judge (kama sikosei), Judge wa kawaida.. then to a Justice of Appeal.............. up the ladder to CJ...,..,,,////'''';;; bado hujajenga nyumba kwa maisha ya waafrika hasa Tanzania, Zanzibar! !Mtu amefikia vyeo cha ujaji mkuu, hakuweza kujenga miaka yote hiyo?
Huyu ni wa kuwajibishwa. Hakuna sababu za huruma. Kwani wakati yeye na mumewe wanaingia humo aliikuta nyumba ikiwa magofu ?!.Wakuu naomba tujadili suala hili kwa kina.
Huyu Mjane alikua anaishi kwenye nyumba ya serekali. Baada ya mumewe kufariki alipewa notisi ya kuhama.
Alifanya jitihada kubwa ya kuiomba Serikali imfikirie na imuachie akae katika nyumba hio ambayo inaonekana walitumia gharama kubwa kuiremba na kuitia mapambo ya kila aina. Hata hivyo ombi lake lilitupiliwa mbali...
Huo mkataba ni kati ya ZHC na marehemu sio NHC na mke !! ukiisha nyumba inarudishwa ZHC kwanza ikisharudishwa ndio uiombe sio ku force .Mwenye nyumba ana haki ya kukataa na kumpa mtu mwingine.Hata kama huyo mwingine anayeitaka asingekuwa kigogo ni haki yake kuitaka sababu muda wa mkataba umeisha.View attachment 1501465
Mtu anakuwekea na picha kabisa ya mkataba ni nyumba ya ZHC lakini bado umekazana nyumba ya serikali kapewa.
Muwe mnasikiliza habari vizuri. Ile nyumba sio ya serikali ni ya shirika la nyumba la Zanzibar (ZHC) na Jaji alikuwa mpangaji sasa alipofariki nahisi ZHC walitaka kumpangisha mtu mwingine kwenye hiyo nyumba kwa kuwa Jaji ambaye alikuwa ni mpangaji amefariki.Nyumba ya serikali unayopewa kutokana na kazi yako,si nyumba ya kudumu,ukihama kikazi au kufariki familia.lazima ihame
Tofautisha kati.ya nyumba ya serikali uliopewa kutokana.na kazi yako na nyumba ya serikali uliopanga na kulipa kodi