Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.

Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.

Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.

Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.

Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.

Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.

Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.

Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.

Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.

Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.

Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.

Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.

Chanzo: Mwananchi
Hivi huyu demu bado kasahau Kiswahili? Nakumbuka marehemu alivyokuwa hai alikuwa hataki kuzungumza Kiswahili hata watoto wake walikuwa wanaongea Kiingereza tu na wazaliwa wa hapa hapa Bongo. Yuko fake kinoma aisee.
 
Nani kasema wachaga ni matajiri mbwa wewe? Utajiri huo wanautoa wapi?? Tuwekee hapa list ya matajiri weusi wa Tz afu utuoneshe hao wachaga wako. Now ni bampa to bampa hamtokaa mpate hata dili mbuzi nyie. Nawatamani sana niwafanye kama Hitler au Rwanda Intarahamwe.
Siku nikiwa kiongozi nchi hii mtakuwa kwa sumu, chanjo, nk mungu asinipe uongozi nchi hii.

Embu pitia huo uzi hapo chini

kimsingi hili suala tokea.mwanzo ni kupinga wosia alioutoa jack kwamba kaachiwa mali zote za mzee mengi .
watoto wanahisi umefojiwa na pia whawakubaliani kwamba wosia eti umewaondoa hao watoto wakubwa tena ambao mda wote kwa kipindi kirefu walikuwa na wanaendelea kuzisimamia hizo kampuni mzee mengi alikuwa hafanyi chochote.
sasa buyo jack alifunguliwa kampuni ya furnicha kaiua kwanza angekuwa amepewa hiz kampuni tokea mzee mengi afe zote zingeshakuwa mfilisi.
Ule usia haiingii akili kabisa watoto Wana haki wote
 
Nani kasema wachaga ni matajiri mbwa wewe? Utajiri huo wanautoa wapi?? Tuwekee hapa list ya matajiri weusi wa Tz afu utuoneshe hao wachaga wako. Now ni bampa to bampa hamtokaa mpate hata dili mbuzi nyie. Nawatamani sana niwafanye kama Hitler au Rwanda Intarahamwe.
Siku nikiwa kiongozi nchi hii mtakuwa kwa sumu, chanjo, nk mungu asinipe uongozi nchi hii.

You are negative & bitter about chaggaz ,,,who hurt you??? The realest flex is healing yourself and work hard!!!Tafuta hela upunguze makasiriko humu!
 
kwenye sheria ya mirathi (probate administration act) ,haichukulii mtoto kwa muktaza huo.
kwenye sheria ya mirathi mtoto ni yule aliyezaliwa na marehemu bila kujali miaka ila inaelezea watoto wadogo kwamba wao mirathi yao inaweza kusimamiwa na mtu mkubwa.(umejimix sana inaelekea huelewi kabisa haya mambo tena kwenye sheria ya mirathi mtoto mdogo harithi kitu yeye mirathi yake itasimamiwa na mtu mkubwa akikua ndio apewe
Yaani umechanganya ishu mbili tofauti the law of the child act na probate administration act
🇹🇿 Wewe ndio umejichsnganya pakubwa kwenye tafsiri na unaonakana umesoma juu chini

🇹🇿 Mali mtoto kugawiwa chini ya mwangalizi, haimaanishi kuwa hajagawiwa, na hii wamefanya hivyo kutokana na sheria ya mikataba kuhusu mtoto

🇹🇿Yule aliyepewa jukumu la kuisimamia stahili yoyote aliyopewa mtoto anatakiwa akabidhi jukumu hilo kwa mtoto pale atakapofikia umri wa mkataba

🇹🇿 Ukiangalia hata percentage ya mgao wa mali za marehemu wale watoto wadogo wanaoendelea na malezi au wanasoma mgao hupewa percentage kubwa kuliko hayo MAVIJEBA yenye familia zao na maisha yao maana mahakama husngalia zaidi ULTIMATE WELFARE OF THE CHILD na sio vijeba
 
wachaga sio wapuuzi kama huu upuuzi ulioandika hapa, ni hivi hakuna kabila yoyote nchi hii ya kushindana na mchaga,

sasa skia nikuambie, huyo mpuuzi danga linalochuna wazee, hana siku nyingi duniani mbele ya mali ya mchaga.

Tena asipokaaa kwa utulivu na vimapacha vyake vya mchongo vitapotezwa.

Dunia ya Mungu mali ya chaggas, upo hapo chali angu. Usilete papara na mali za kichaga utapotezwa.
Mwenyewe unaona umeandikaaaaa
 
Ndio shida Kaka hapo ilipo.
Sasa Kama watoto wa mengi na mama yao mdogo wanagombea mimali yote hyo.
Sisi watoto wa KIMASIKINI tufanyaje?
Alafu hao mali zao ni za kuendelea.
Yaani baba yao ameweka mfumo kila siku hela zinaingia benk.
Acha makampuni yake na hela ambazo zipo benk.
Yaani ukipewa kiwanda kimoja tu Cha mzee mengi wewe umasikini umeuaga.
Jack Aliza na baba yao hawawezi kumtoa kwa namna yoyote ile maana ana damu yao.
Jack asipokula mali za mengi kwa jina la mjane wake atakula mali za mengi kwa jina la MAMA WATOTO WAKE.
Usiwalaumu usikute hakuna anaetaka makubaliano ya amani both side
 
Ndio shida Kaka hapo ilipo.
Sasa Kama watoto wa mengi na mama yao mdogo wanagombea mimali yote hyo.
Sisi watoto wa KIMASIKINI tufanyaje?
Alafu hao mali zao ni za kuendelea.
Yaani baba yao ameweka mfumo kila siku hela zinaingia benk.
Acha makampuni yake na hela ambazo zipo benk.
Yaani ukipewa kiwanda kimoja tu Cha mzee mengi wewe umasikini umeuaga.
Jack Aliza na baba yao hawawezi kumtoa kwa namna yoyote ile maana ana damu yao.
Jack asipokula mali za mengi kwa jina la mjane wake atakula mali za mengi kwa jina la MAMA WATOTO WAKE.
Mi ndo nashangaa inabidi wajishushe wakubaliane. Hata kama Jack ni mdangaji ila ana haki yake kwa sababu kamzalia Mzee. Hao watoto wanatumia hisia katika kufanya maamuzi. Inabidi waweke hasira pembeni na watumie ubinadamu. Njia pekee kama hawataki kuwa karibu nae wampe entity Moja aisimamie mwenyewe, kama watampa Bonite au ITV yaani wamalizane.
 
🇹🇿 Wewe ndio umejichsnganya pakubwa kwenye tafsiri na unaonakana umesoma juu chini

🇹🇿 Mali mtoto kugawiwa chini ya mwangalizi, haimaanishi kuwa hajagawiwa, na hii wamefanya hivyo kutokana na sheria ya mikataba kuhusu mtoto

🇹🇿Yule aliyepewa jukumu la kuisimamia stahili yoyote aliyopewa mtoto anatakiwa akabidhi jukumu hilo kwa mtoto pale atakapofikia umri wa mkataba

🇹🇿 Ukiangalia hata percentage ya mgao wa mali za marehemu wale watoto wadogo wanaoendelea na malezi au wanasoma mgao hupewa percentage kubwa kuliko hayo MAVIJEBA yenye familia zao na maisha yao maana mahakama husngalia zaidi ULTIMATE WELFARE OF THE CHILD na sio vijeba

kwenye kugawa mali za marehemu mahakama inaangalia kama marehemu ameacha mke, watoto, na wazazi.
Mke ana percent yake, watoto wanapercent yao bila kujali umri wao, na wazazi wanapercent yao kama wapo na walikuwa wanamtegemea marehemu ndio ipo hivyo.

Acha kuchananya sheria ya haki ya mtoto na sheria ya mirathi kwenye sheria ya mirathi watoto wote ni sawa hakuna cha kitu kama eti watoto wakiwa wadogo percent yao ya mgao wa mali inakuwa kubwa
 
Mi ndo nashangaa inabidi wajishushe wakubaliane. Hata kama Jack ni mdangaji ila ana haki yake kwa sababu kamzalia Mzee. Hao watoto wanatumia hisia katika kufanya maamuzi. Inabidi waweke hasira pembeni na watumie ubinadamu. Njia pekee kama hawataki kuwa karibu nae wampe entity Moja aisimamie mwenyewe, kama watampa Bonite au ITV yaani wamalizane.
unatakiwa kuelewa hii kesi ni kwamba hao watoto wakubwa wa Marehemu hakuna sehemu wamekataa kukaa na huyo mdangaji kumpa mali hata kwa ajili ya hao watoto wadogo ili azisimamie wa niaba yao.
Wanachopinga hao watoto wakubwa ni wosia ambao huyo mdangaji ameuproduce kwamba aliuacha marehemu.
Wosia huo ndio chanzo cha mgogoro,k ama Jac asingeonyesha huo wosia sidhani kama kungekuwa na hii kesi
 
Ndugu yake , utoto unaishia pale alipoanza kujitegemea , anakuwa nwanaukoo mwenzake

wenye sheria ya mirathi kuna kitu kinaitwa warithi or (beneficiaries) . Beneficiary namba moja wa mali za marehemu ni mke au mume kama yupo, namba mbili ni watoto wa marehemu kama wapo, namba tatu ni wazazi wa marehemu kama wapo.

unajichanganya sana unapoleta suala la miaka sijui chini ya 18 au zaidi wenye suala la mirathi sasa kama wazazi wa marehemu kama wapo na wana haki ya kurithi mali za mtoto wao na wana miaka zaidi hata ya 100.

embu jaribu kutumia zaidi neno beneficiary wa mali za marehemu achana na neno mtoto ili kupanua uelewa wao kidogo inaelekea ubongo wako ni finyu
 
unatakiwa kuelewa hii kesi ni kwamba hao watoto wakubwa wa Marehemu hakuna sehemu wamekataa kukaa na huyo mdangaji kumpa mali hata kwa ajili ya hao watoto wadogo ili azisimamie wa niaba yao.
Wanachopinga hao watoto wakubwa ni wosia ambao huyo mdangaji ameuproduce kwamba aliuacha marehemu.
Wosia huo ndio chanzo cha mgogoro,k ama Jac asingeonyesha huo wosia sidhani kama kungekuwa na hii kesi
Huo wosia ni batili na hilo suala ni obvious. Na Mahakama ishapinga hilo lakini Jack amefungua shauri la kwamba wasimamizi wa Mali za marehemu hawafuati maagizo ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kuwatunza yeye na watoto wake.
 
Huyu mdangaji alikosea alitakiwa kuwa amekwisha chukua chake mapema kabla mzee hajavuta

Sasa yeye kaishia kumuandikia mzee wosia na kujirithisha mali kisha kamkatia mauno mzee wa watu akasaini
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.
Ameshinda pingamizi katika kesi ya rufaa, hukumu ya kesi ya rufaa bado. Kwa hiyo kichwa chako cha thread kinapotosha. Muulize Lissu akufafanulie
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye mchezo kuna kushinda,kushindwa,na droo, kwenye kesi kuna kushinda,kushindwa,au vyote kwa pamoja!! Si umeona hapo Mrs billionaire to be,ameshinda na ameshindwa kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom