Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Hivi huyu demu bado kasahau Kiswahili? Nakumbuka marehemu alivyokuwa hai alikuwa hataki kuzungumza Kiswahili hata watoto wake walikuwa wanaongea Kiingereza tu na wazaliwa wa hapa hapa Bongo. Yuko fake kinoma aisee.
 

Embu pitia huo uzi hapo chini

 
Ule usia haiingii akili kabisa watoto Wana haki wote
 

You are negative & bitter about chaggaz ,,,who hurt you??? The realest flex is healing yourself and work hard!!!Tafuta hela upunguze makasiriko humu!
 
🇹🇿 Wewe ndio umejichsnganya pakubwa kwenye tafsiri na unaonakana umesoma juu chini

🇹🇿 Mali mtoto kugawiwa chini ya mwangalizi, haimaanishi kuwa hajagawiwa, na hii wamefanya hivyo kutokana na sheria ya mikataba kuhusu mtoto

🇹🇿Yule aliyepewa jukumu la kuisimamia stahili yoyote aliyopewa mtoto anatakiwa akabidhi jukumu hilo kwa mtoto pale atakapofikia umri wa mkataba

🇹🇿 Ukiangalia hata percentage ya mgao wa mali za marehemu wale watoto wadogo wanaoendelea na malezi au wanasoma mgao hupewa percentage kubwa kuliko hayo MAVIJEBA yenye familia zao na maisha yao maana mahakama husngalia zaidi ULTIMATE WELFARE OF THE CHILD na sio vijeba
 
Mwenyewe unaona umeandikaaaaa
 
Ndio shida Kaka hapo ilipo.
Sasa Kama watoto wa mengi na mama yao mdogo wanagombea mimali yote hyo.
Sisi watoto wa KIMASIKINI tufanyaje?
Alafu hao mali zao ni za kuendelea.
Yaani baba yao ameweka mfumo kila siku hela zinaingia benk.
Acha makampuni yake na hela ambazo zipo benk.
Yaani ukipewa kiwanda kimoja tu Cha mzee mengi wewe umasikini umeuaga.
Jack Aliza na baba yao hawawezi kumtoa kwa namna yoyote ile maana ana damu yao.
Jack asipokula mali za mengi kwa jina la mjane wake atakula mali za mengi kwa jina la MAMA WATOTO WAKE.
Usiwalaumu usikute hakuna anaetaka makubaliano ya amani both side
 
Mi ndo nashangaa inabidi wajishushe wakubaliane. Hata kama Jack ni mdangaji ila ana haki yake kwa sababu kamzalia Mzee. Hao watoto wanatumia hisia katika kufanya maamuzi. Inabidi waweke hasira pembeni na watumie ubinadamu. Njia pekee kama hawataki kuwa karibu nae wampe entity Moja aisimamie mwenyewe, kama watampa Bonite au ITV yaani wamalizane.
 

kwenye kugawa mali za marehemu mahakama inaangalia kama marehemu ameacha mke, watoto, na wazazi.
Mke ana percent yake, watoto wanapercent yao bila kujali umri wao, na wazazi wanapercent yao kama wapo na walikuwa wanamtegemea marehemu ndio ipo hivyo.

Acha kuchananya sheria ya haki ya mtoto na sheria ya mirathi kwenye sheria ya mirathi watoto wote ni sawa hakuna cha kitu kama eti watoto wakiwa wadogo percent yao ya mgao wa mali inakuwa kubwa
 
unatakiwa kuelewa hii kesi ni kwamba hao watoto wakubwa wa Marehemu hakuna sehemu wamekataa kukaa na huyo mdangaji kumpa mali hata kwa ajili ya hao watoto wadogo ili azisimamie wa niaba yao.
Wanachopinga hao watoto wakubwa ni wosia ambao huyo mdangaji ameuproduce kwamba aliuacha marehemu.
Wosia huo ndio chanzo cha mgogoro,k ama Jac asingeonyesha huo wosia sidhani kama kungekuwa na hii kesi
 
Ndugu yake , utoto unaishia pale alipoanza kujitegemea , anakuwa nwanaukoo mwenzake

wenye sheria ya mirathi kuna kitu kinaitwa warithi or (beneficiaries) . Beneficiary namba moja wa mali za marehemu ni mke au mume kama yupo, namba mbili ni watoto wa marehemu kama wapo, namba tatu ni wazazi wa marehemu kama wapo.

unajichanganya sana unapoleta suala la miaka sijui chini ya 18 au zaidi wenye suala la mirathi sasa kama wazazi wa marehemu kama wapo na wana haki ya kurithi mali za mtoto wao na wana miaka zaidi hata ya 100.

embu jaribu kutumia zaidi neno beneficiary wa mali za marehemu achana na neno mtoto ili kupanua uelewa wao kidogo inaelekea ubongo wako ni finyu
 
Huo wosia ni batili na hilo suala ni obvious. Na Mahakama ishapinga hilo lakini Jack amefungua shauri la kwamba wasimamizi wa Mali za marehemu hawafuati maagizo ya Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kuwatunza yeye na watoto wake.
 
Huyu mdangaji alikosea alitakiwa kuwa amekwisha chukua chake mapema kabla mzee hajavuta

Sasa yeye kaishia kumuandikia mzee wosia na kujirithisha mali kisha kamkatia mauno mzee wa watu akasaini
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.
Ameshinda pingamizi katika kesi ya rufaa, hukumu ya kesi ya rufaa bado. Kwa hiyo kichwa chako cha thread kinapotosha. Muulize Lissu akufafanulie
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye mchezo kuna kushinda,kushindwa,na droo, kwenye kesi kuna kushinda,kushindwa,au vyote kwa pamoja!! Si umeona hapo Mrs billionaire to be,ameshinda na ameshindwa kwa pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…