Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ameshinda pingamizi, kwahiyo sasa maombi yake ya mahakama ya rufaa kupitia hukumu ya mahakama kuu sasa kufanyiwa kazi.Kwamba Kesi imeisha? Maana hapo nadhani alichoshinda ni kipengele cha Kesi kusikilizwa
Jacky awe makiniMwisho wa siku kuna mtu atakufa
Huyo Jackiline Ntuyabaliwe hili ni jina la Kitanzania?Kabi
Kabila la kishamba namba moja hamujiamini jackline atawamaliza kabisa hapo hamjakutana na Mhaya kwa lip mliokuwa nalo Kwa Tz zaidi ya ubaguzi tu na kick elimi za uwizi was mitihani mali za magendo
Mna nn mngekuwa na jiji mbona mnakimbia kwenu
Sidhani maana watu wa kigoma wengi wakimbizi ila itakuwa africast tu hii kesi ni ngumu sana ila ni nyepesi kama ingekuwa wachaga sio wabaguziHuyo Jackiline Ntuyabaliwe hili ni jina la Kitanzania?
Usia feki ulitaka huyo dada apewe mali zote , ingewezekanaje hilo ?Baba yenu kaacha mali nyingi sana.
Kwanini msikae na mama yenu mdogo vizuri mmagawana?
mzee wenu alishafanya makosa mkubwa hakosei.
Hao Kaka zenu wadogo ni ndugu zenu wa damu kaeni nao vizuri.
Haya masuala ya kugombea mali mtuachie sisi masikini nyumba moja watoto 7 bado wengine wa nje.
Kiukweli sioni Sababu ya nyie kugombana kisa mali maana zipo za kutosha
Mtawaonea bure Wachaga, huyu demu alifanya forgery ya kitoto, hakuna wosia wa namna hii kwa Waafrica.Sidhani maana watu wa kigoma wengi wakimbizi ila itakuwa africast tu hii kesi ni ngumu sana ila ni nyepesi kama ingekuwa wachaga sio wabaguzi
Mashetani kama huyu Jackline wanapokwenda mahotelin humu kuendeleza ukahaba ndio wakuwamaliza na sumu ya Pollonium.Jacky awe makini
Mkuu unatakiwa uangalie na situation mengi alishaachana na mkewe na walishagawana pamoja na makubaliano ya kugawana kiwango fulani Kwa mwezi fuatilia bado mke anachukua kutoka kweny makampuni kila mweziMtawaonea bure Wachaga, huyu demu alifanya forgery ya kitoto, hakuna wosia wa namna hii kwa Waafrica.
Tamaa imempoza na itakula kwake, Majaji wanapotowa uamuzi huwa wanaangalia sheria na maoni yao binafsi.
Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...www.jamiiforums.com
Upo sahihiMali haziwezi kwenda Rwanda, tuache udangaji
Inawezekana kabisaMashetani kama huyu Jackline wanapokwenda mahotelin humu kuendeleza ukahaba ndio wakuwamaliza na sumu ya Pollonium.
Mshenzi kabisa huyu mwanamke,na sasa ninaamini yeye ndio amemuuwa Mzee Mengi wakati ameshafoji wosia ili achukuwe mali.
Ningekuwa mimi ni mtoto wa Mengi huyu naye angekuwa ameshazikwa siku nyingi tu.
Aaa wap huwajui vizur wachaga wale ni mafia Huyo demu awali mahakama kuu alishindwa unafikili huko atatoboaKesi za wajane na yatima na hasa zinazohusu mirathi kaa nazo mbali ni mwiba. Ukoo wa Mengi ungekaa na Jaki wakayamaliza kifamilia ila kukomaa mahakamani hakutakuwa na tija kwa upande wao. Huyu mama amepata muda mrefu wa kujipanga kwa hiyo sasa hivi amekamilika.
Wanaweza kufanya hivyo ila hofu ni kutokutengeneza mazingira ya kuhisiwa waoMashetani kama huyu Jackline wanapokwenda mahotelin humu kuendeleza ukahaba ndio wakuwamaliza na sumu ya Pollonium.
Mshenzi kabisa huyu mwanamke,na sasa ninaamini yeye ndio amemuuwa Mzee Mengi wakati ameshafoji wosia ili achukuwe mali.
Ningekuwa mimi ni mtoto wa Mengi huyu naye angekuwa ameshazikwa siku nyingi tu.
Hivi hata wewe ndio uwe Jaji utabariki huu ujambazi wa Jackline?Aaa wap huwajui vizur wachaga wale ni mafia Huyo demu awali mahakama kuu alishindwa unafikili huko atatoboa
Jackline alichuma nini na Mengi?Mkuu unatakiwa uangalie na situation mengi alishaachana na mkewe na walishagawana pamoja na makubaliano ya kugawana kiwango fulani Kwa mwezi fuatilia bado mke anachukua kutoka kweny makampuni kila mwezi
Izo mali ni za watoto wake hao aliozaa na mke wa kwanza na Hawa twince wa mchongo wa jack nielewe ila wachaga walivyo na ubinafsi eti zote ziwe sijui Kwa watoto wakubwa kivip wakati mama yao tu hana chao
hakuna kesi mbaya kama mirathiMjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.
Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.
Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.
Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.
Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.
Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.
Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.
Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.
Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.
Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.
Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.
Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.
Chanzo: Mwananchi
Kungekuwa na watu wenye akili ya haraka ya kuchanganuwa mambo kama wewe nadhani maisha yangekuwa rahisi sana.Audax Kahendaguza - wakili wa mlalamikaji.
Jackline Ntuyabaliwe - Mlalamikaji.