Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Kwamba Kesi imeisha? Maana hapo nadhani alichoshinda ni kipengele cha Kesi kusikilizwa
Ameshinda pingamizi, kwahiyo sasa maombi yake ya mahakama ya rufaa kupitia hukumu ya mahakama kuu sasa kufanyiwa kazi.

Ila sasa mahakama ya rufaa itakaposema mahakama huu ilitowa hukumu ya haki ndio mwisho wa mchezo na itakula kwake mazima huyo Jackline.
 
Kabi

Kabila la kishamba namba moja hamujiamini jackline atawamaliza kabisa hapo hamjakutana na Mhaya kwa lip mliokuwa nalo Kwa Tz zaidi ya ubaguzi tu na kick elimi za uwizi was mitihani mali za magendo

Mna nn mngekuwa na jiji mbona mnakimbia kwenu
Huyo Jackiline Ntuyabaliwe hili ni jina la Kitanzania?
 
Baba yenu kaacha mali nyingi sana.
Kwanini msikae na mama yenu mdogo vizuri mmagawana?
mzee wenu alishafanya makosa mkubwa hakosei.
Hao Kaka zenu wadogo ni ndugu zenu wa damu kaeni nao vizuri.
Haya masuala ya kugombea mali mtuachie sisi masikini nyumba moja watoto 7 bado wengine wa nje.
Kiukweli sioni Sababu ya nyie kugombana kisa mali maana zipo za kutosha
Usia feki ulitaka huyo dada apewe mali zote , ingewezekanaje hilo ?
 
Sidhani maana watu wa kigoma wengi wakimbizi ila itakuwa africast tu hii kesi ni ngumu sana ila ni nyepesi kama ingekuwa wachaga sio wabaguzi
Mtawaonea bure Wachaga, huyu demu alifanya forgery ya kitoto, hakuna wosia wa namna hii kwa Waafrica.

Tamaa imempoza na itakula kwake, Majaji wanapotowa uamuzi huwa wanaangalia sheria na maoni yao binafsi.

Jacky awe makini
Mashetani kama huyu Jackline wanapokwenda mahotelin humu kuendeleza ukahaba ndio wakuwamaliza na sumu ya Pollonium.

Mshenzi kabisa huyu mwanamke,na sasa ninaamini yeye ndio amemuuwa Mzee Mengi wakati ameshafoji wosia ili achukuwe mali.

Ningekuwa mimi ni mtoto wa Mengi huyu naye angekuwa ameshazikwa siku nyingi tu.
 
Mkuu unatakiwa uangalie na situation mengi alishaachana na mkewe na walishagawana pamoja na makubaliano ya kugawana kiwango fulani Kwa mwezi fuatilia bado mke anachukua kutoka kweny makampuni kila mwezi

Izo mali ni za watoto wake hao aliozaa na mke wa kwanza na Hawa twince wa mchongo wa jack nielewe ila wachaga walivyo na ubinafsi eti zote ziwe sijui Kwa watoto wakubwa kivip wakati mama yao tu hana chao
 
Inawezekana kabisa
 
Kesi za wajane na yatima na hasa zinazohusu mirathi kaa nazo mbali ni mwiba. Ukoo wa Mengi ungekaa na Jaki wakayamaliza kifamilia ila kukomaa mahakamani hakutakuwa na tija kwa upande wao. Huyu mama amepata muda mrefu wa kujipanga kwa hiyo sasa hivi amekamilika.
Aaa wap huwajui vizur wachaga wale ni mafia Huyo demu awali mahakama kuu alishindwa unafikili huko atatoboa
 
Mashetani kama huyu Jackline wanapokwenda mahotelin humu kuendeleza ukahaba ndio wakuwamaliza na sumu ya Pollonium.

Mshenzi kabisa huyu mwanamke,na sasa ninaamini yeye ndio amemuuwa Mzee Mengi wakati ameshafoji wosia ili achukuwe mali.

Ningekuwa mimi ni mtoto wa Mengi huyu naye angekuwa ameshazikwa siku nyingi tu.
Wanaweza kufanya hivyo ila hofu ni kutokutengeneza mazingira ya kuhisiwa wao
 
Aaa wap huwajui vizur wachaga wale ni mafia Huyo demu awali mahakama kuu alishindwa unafikili huko atatoboa
Hivi hata wewe ndio uwe Jaji utabariki huu ujambazi wa Jackline?

Siamini kama watoto wakubwa wanatenga wadogo zao shida ni ushetani wa huyu kahaba Jackline, hakufuata mapenzi kwa Mzee Mengi bali alifuata mali tu.
 
Mkuu unatakiwa uangalie na situation mengi alishaachana na mkewe na walishagawana pamoja na makubaliano ya kugawana kiwango fulani Kwa mwezi fuatilia bado mke anachukua kutoka kweny makampuni kila mwezi

Izo mali ni za watoto wake hao aliozaa na mke wa kwanza na Hawa twince wa mchongo wa jack nielewe ila wachaga walivyo na ubinafsi eti zote ziwe sijui Kwa watoto wakubwa kivip wakati mama yao tu hana chao
Jackline alichuma nini na Mengi?
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Nchini, marehemu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi.

Ameshinda pingamizi hilo baada ya Mahakama kukataa hoja zote saba za pingamizi la wasimamizi wa mirathi.

Hii ni mara ya pili kwa mjane huyo kushinda pingamizi kutoka kwa wasimamizi wa mirathi hiyo wanaopinga kusikilizwa maombi yake ya mapitio.

Jacqueline na wanawe, Jaden Mengi ambaye ni mwombaji wa pili na Ryan Mengi (mwombaji wa tatu), wamefungua maombi ya mapitio katika Mahakamaya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu iliyobatilisha wosia wa marehemu Mengi.

Hata hivyo, wasimamizi wa mirathi hiyo, Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza na Benjamin Abrahamu Mengi, ndugu wa marehemu Mlengi), wanazuia rufaa yake hiyo isisikilizwe na yatupiliwe mbali.

Awali, baada ya Jacqueline kufungua maombi ya mapitio Mahakama ya Rufani dhidi ya hukumu ya Mahakama Kuu, wasimamizi hao walimwekea pingamizi wakiiomba iyatupilie mbali mapitio kwa madai yalikuwa yamewasilishwa isivyo halali.

Wasimamizi walidai kuwa, waombaji walipaswa kukata rufaa na sio kuwasilisha maombi ya mapitio waliyodai yalikuwa na upungufu wa kisheria kwa kutoambatanishwa nyaraka muhimu.

Mahakama ya Rufani katika uamuzi wake ilitupilia mbali hoja za pingamizi la kina Abdiel, badala yake ikakubaliana na hoja za Jacqueline zilizotolewa na wakili wake, Audax Kahendaguza na ikakubali kumsikiliza katika maombi yake hayo ya mapitio.

Kutokana na uamuzi huo, kina Abdiel wakawasilisha maombi ya marejeo wakiiomba Mahakama irejee na kubadilisha uamuzi wake wa kutupilia pingamizi lao dhidi ya maombi ya mapitio ya Jacqueline na wanaye. Katika maombi hayo, kina Abdiel walidai kuwa uamuzi wa Mahakama hiyo haukuzingatia misingi ya kisheria.

Wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo, wakili wa Jacqueline, Kahendaguza na wakili wa wajibu maombi wengine, waliotajwa kwenye wosia huo, walipinga hoja za kina Abdiel.

Mahakama ya Rufani juzi, ilikataa hoja zote za maombi ya marejeo ya kina Abdiel.

Mahakama hiyo itasikiliza ya Jacqueline na wanaye kwa tarehe itakayopangwa na Msajili wa Mahakama hiyo, ambayo ndiyo itatoa hatima ya uhalali wa wosia huo na uhalali maomb ya mapi twa Abdiel na Benjamin kuwa wasi mamizi wa mirathi.

Chanzo: Mwananchi
hakuna kesi mbaya kama mirathi
 
Papuchi inapoleta shida dakika za mwishoni.... Mahakama ihukumu kwa kuangalia umri wa marehemu vs suala zima la maamuzi kwa watu wa umri huo..

Jack anakesi ya kujibu ya utekaji nyara, kifupi alimteka mzee na kumblackmail maana Mzee kiumri, kiakili + maradhi yake hakuna na uwezo kimaamuzi..
 
Chukulia kwa level ya familia tu!

Mfano mama yenu mzazi afariki halafu mali zote alizochuma na baba yenu mzazi iwe majumba na mabiashara mzee aamue kuzigawa kwa dogo dogo wake eti kisa tu anampaga K vizuri na amemzalia mdogo wenu 😂!

Hapo moto lazma uwake yani af ukiangalia huyo mama mdogo awe hana maelewano na nyie mazuri na kujifanya much know.
 
Katiba mpya iwe na kipengele muhimu kulinda wazee na wastaafu...

"Binti au kijana chini ya 40yrs akiwa na mahusiano na mzee wa kuanzia 60yrs+, Katiba iseme wazi tu hiyo ni dating/marriage at your own risk na incase of death hakuna urithi...."
 
Audax Kahendaguza - wakili wa mlalamikaji.
Jackline Ntuyabaliwe - Mlalamikaji.
Kungekuwa na watu wenye akili ya haraka ya kuchanganuwa mambo kama wewe nadhani maisha yangekuwa rahisi sana.

Umeyaona hayo majina? Kuna Mtanzania hapo? Hivi ndio vitu majaji wanapohukumu wanapaswa kuzingatia na kuviangalia, hili ni genge ka wezi lilojificha kwenye kichaka cha sheria.
 
Back
Top Bottom