Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Hujui sheria.Unachanganya mali za divorce( zinahusu wanandoa tu) na mali za mirathi( zinahusu warithi wa marehemu).Kama mama yao(mke mkubwa) alikuwa ana mali nyingi/ tajiri(bila kujali alizipata wapi)akifa watoto wake watairithi.Hiyo haizuii watoto hao kupata urithi wa baba yao endapo anakufa.Watoto wakubwa hapo wanapata double advantage kwakuwa kila upande wa mzazi wao ukikuwa tajiri.Lkn huwezi kusema eti nilivyoachana na mke wangu zile mali tulizogawana nyie watoto chukueni hizo hizi za kwangu nitatumia na niwapendao.No haiko hivyo kisheria.
Kuna sababu zinakubalika kisheria za mtoto/ mrithi halali kunyimwa urithi mfano mtoto alimtelekeza mzazi nk.
 
Kesi za namna hii, Jackie kaunganisha na watoto ambao hawajui kinachoendelea!
Kuna wanasheria wake wale wa Magomeni waliomsainisha na kumgongea muhuri ya will ya Yule Mzee.

I love you so much my Jacqueline,
Haa haa daah kweli mjini msingi kiuno,

Basi nimtakie kila heri katika safari yake ndefu yenye maumivu na machungu, kwani matamanio na matarajio mara nyingi hutofautiana Sana!
 
Hiyo hapo ni sheria, sio haki.

Jackline kurithi mali zate za Mengi wakati kaishi nae miaka mitano tu kabla Mengi hajafariki ni sheria inaamua, lkn ukweli sio haki!
Haki nini ile inayopatikana kwa misingi ya kisheria sio misingi ya kihisia.
 
Mimi ni mchaga lakini hili suala wakitumia hasira wataacha zaidi ya 40% ya Mali zao mahakamani. Jack hana hela lakini anaweza kumuweka mwanasheria mzuri on retainer akamwahidi atampa nusu ya kitakachopatikana na wanaandikiana mkataba kabisa. Nimewahi kushuhudia hii kwa tajiri mmoja wa Mbezi beach walimdharau mwanamke hajasoma. Lakini aliwanyoosha japokuwa yeye alikuwa mke wa kwanza wa marehemu na ndiye aliyeanza nae Maisha.
 

Kwahiyo mke asiye mtanzania [if that] hastahili urithi?
 
Ukweli mchungu ni kuwa kizazi cha Mengi kwa mke mkubwa ni magarasa [only Rodney Mtui, RIP], hawa Regina na Abdiel hamna kitu mule hata kuzaa wala kuwa na familia hayataki…. nani angeendeleza bloodline?

Hii ndo ilipelekea Mzee kwa umri ule kusaka watoto upya ili apate kizazi kipya, hatimae tuko hapa leo.
 
Haki nini ile inayopatikana kwa misingi ya kisheria sio misingi ya kihisia.
Sio kweli kabisa!
Kuna sheria nyingi tu zinatungwa lkn sio za haki. Labda mtu kama hujui maana ya haki.

Kwa mfano, kuna nchi zimetunga sheria mwanamke haruhusiwi kuendesha gari.
Sio hilo ni la haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…