Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Kwahiyo mtu akizaa watoto kama 10 hivi unakuwa na uchi mzuri zaidi ya wa Jack..kama ishu ni kuzaaAlikolea mpaka watoto wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mtu akizaa watoto kama 10 hivi unakuwa na uchi mzuri zaidi ya wa Jack..kama ishu ni kuzaaAlikolea mpaka watoto wawili
Warundi hawaAudax Kahendaguza - wakili wa mlalamikaji.
Jackline Ntuyabaliwe - Mlalamikaji.
Hujui sheria.Unachanganya mali za divorce( zinahusu wanandoa tu) na mali za mirathi( zinahusu warithi wa marehemu).Kama mama yao(mke mkubwa) alikuwa ana mali nyingi/ tajiri(bila kujali alizipata wapi)akifa watoto wake watairithi.Hiyo haizuii watoto hao kupata urithi wa baba yao endapo anakufa.Watoto wakubwa hapo wanapata double advantage kwakuwa kila upande wa mzazi wao ukikuwa tajiri.Lkn huwezi kusema eti nilivyoachana na mke wangu zile mali tulizogawana nyie watoto chukueni hizo hizi za kwangu nitatumia na niwapendao.No haiko hivyo kisheria.Mengi si mjinga kufanya hayo...
Alitaka kizazi chake kiendelee..
Hao wakubwa wote hamna kitu mule...
Hizo Mali zote watagawa tu hawawezi kutengeza familia..
Na 50% ..walishapewa ya mama yao..sasa mzee kaamua 50% yake iliyobaki awape watoto wake wengine wawili ambao hawakupata mgao wa kwanza!
Bado na hiyo wanaitaka.. ..
Wakae na bi dada wayamalize...
Kwani Rwanda ni Ulaya ?Mali haziwezi kwenda Rwanda, tuache udangaji
Ilikuwaje mnamuacha tu hadi anafanikiwa kuua ?Kwani wakati anamuua Machache alikuwa hajajipanga?
Haki nini ile inayopatikana kwa misingi ya kisheria sio misingi ya kihisia.Hiyo hapo ni sheria, sio haki.
Jackline kurithi mali zate za Mengi wakati kaishi nae miaka mitano tu kabla Mengi hajafariki ni sheria inaamua, lkn ukweli sio haki!
Either way How is it your concern ?watoto wa plastiki wale hawakuchakatana ni test tube babies
Kesi ya msingi haijaisha mkuuKwamba Kesi imeisha? Maana hapo nadhani alichoshinda ni kipengele cha Kesi kusikilizwa
Alikolea mpaka watoto wawili
jasusi mbobezi Paulo k.hawezi kuacha kumpa sapoti mrwanda mwenzie,na kesi ikiisha anasepa Rwanda kuwekeza !!
Mimi ni mchaga lakini hili suala wakitumia hasira wataacha zaidi ya 40% ya Mali zao mahakamani. Jack hana hela lakini anaweza kumuweka mwanasheria mzuri on retainer akamwahidi atampa nusu ya kitakachopatikana na wanaandikiana mkataba kabisa. Nimewahi kushuhudia hii kwa tajiri mmoja wa Mbezi beach walimdharau mwanamke hajasoma. Lakini aliwanyoosha japokuwa yeye alikuwa mke wa kwanza wa marehemu na ndiye aliyeanza nae Maisha.wachaga sio wapuuzi kama huu upuuzi ulioandika hapa, ni hivi hakuna kabila yoyote nchi hii ya kushindana na mchaga,
sasa skia nikuambie, huyo mpuuzi danga linalochuna wazee, hana siku nyingi duniani mbele ya mali ya mchaga.
Tena asipokaaa kwa utulivu na vimapacha vyake vya mchongo vitapotezwa.
Dunia ya Mungu mali ya chaggas, upo hapo chali angu. Usilete papara na mali za kichaga utapotezwa.
Kungekuwa na watu wenye akili ya haraka ya kuchanganuwa mambo kama wewe nadhani maisha yangekuwa rahisi sana.
Umeyaona hayo majina? Kuna Mtanzania hapo? Hivi ndio vitu majaji wanapohukumu wanapaswa kuzingatia na kuviangalia, hili ni genge ka wezi lilojificha kwenye kichaka cha sheria.
Kwa hiyo na Police nao wanaomba uhalifu uendelee ili nao waendelee kupata ajira!?ndio mfumo mkuu sasa wanasheria tukale wapi
Sio kweli kabisa!Haki nini ile inayopatikana kwa misingi ya kisheria sio misingi ya kihisia.
Kwani Rwanda ni Tanzania?Kwani Rwanda ni Ulaya ?