Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Hiyo hapo ni sheria, sio haki.

Jackline kurithi mali zate za Mengi wakati kaishi nae miaka mitano tu kabla Mengi hajafariki ni sheria inaamua, lkn ukweli sio haki!
Miaka mitano?? Kuwa serious
 
Wazeee wanapenda papuchiii mbichi msala wakifa wanawaachia watoto kupambna na mama mdogo
naona unaanza kutupa madongo kwa Mzee wa Kilalacha na yule Mzee wa Akudo Impact.... 😉 😉 😉

Miaka 75 kwa 25 ... hapo lazima uwe umeshaandika mirathi ya uhakika kabla ya ndoa vinginevyo utaandika mirathi ukiwa kwenye beseni ukiongeshwa... hapo mke wa ndoa na watoto lazima waambulie vijiko, sahani na suti chakavu.
 
Kushinda mapingamizi sio kushinda kesi kwahiyo usiongope kuwa ameshinda rufaa, ngoma bado mbichi kabisa tena unaweza kumtia nuksi akashindwa rufaa.
 
Aisee, afu niwe Rais nchi hii wachaga wawe salama, labda mungu asinipe hii nafasi, ila nitawaburuza hawatokaa waamini macho yao.
 
Duh.
 
Walizochuma walishagawana mzee, mbona umedandia gari kwa mbele??
 
Una ukabila wa kifala sana.
 
We ni kichaa, mwanaume unakuwaje na wivu kwa mwanamke?? Basi ungeolewa ww ukala mti wa mzee.
Kmmmako showger mmoja! Kama unamaindi kuchochwa sema maana nina ugumu kweli wa kupiga washeli!
 
Walizochuma walishagawana mzee, mbona umedandia gari kwa mbele??
Sijadandia. Kwani historia imejieleza. Chanzo cha utajiri wa rginald ni mercy hivyo warithoi halali wa mali za reginald ni watoto wa mercy. Jackie kakuta hiyo mali sasa iweje arithi yeye na akna abdiel waambulie patupu!!! Si haki. Narudia mnaooa wake watoto kuliko nyie hakikisheni mnaacha mambo sawa kabla hamjafa. Muwape urithi wao mapema. Mali uliyochuma na mke wa kwanza lazima iende kwa watoto wako wa mkeo wa ujana wako. Huyu mzee mi naona alijichanganya sana. Kaacha vurugu tu!!!
 
Sema Jack hata akiamua kuachana na mali hizo bado atatoboa maisha tu...kitu bado namba "D" mamilionea fisi hawachezi mbali hakyamungu...
God created women....
 
Sioni akipindua hili swala
 
Huyu lazima itafanyika njia asiwepo, maana anataka asivyojua vilipatikanaje
 
I bet the old man was months away, if not weeks, from his death bed when this picture was taken. Kitu najiuliza: Why would such a beautiful young woman go to great lengths kuzaa na mzee kama huyu? Why, oh why? It must've been because of his money, and nothing else, and it seems very wrong in every sense.
 
Money money money
I bet the old man was months away, if not weeks, from his death bed when this picture was taken. Kitu najiuliza: Why would such a beautiful young woman go to great lengths kuzaa na mzee kama huyu? Why, oh why? It just seems very wrong in every sense.
 
Mzee was a septuagenarian, and ailing health-wise, and most definitely could not have any semblance of an erection to satisfy his beautiful, coveted, super sleek and couth, young wife.
 
Sielewi! Wosia wa Mengi aliandika alipokuwa anaugua au kabla? Kama ni kabla alikuwa na akili timamu, hata kama alipokuwa anaumwa inawezekana huenda bado alikuwa na akili timamu. Waheshimu tu "wosia wa baba"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…