mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan amezaa nae watoto mkuu ?Wanazuwia mali za mjane lakini hawaja mzuwia Mrema kuoa wakati wa uhai wake. Ama kweli tukifa wajane na watoto wetu wanapitia wakati mgumu sana.
Nawapongeza Watoto wa Marehemu kwani kwa jinsi Baba yao alivyokuwa akiumwa ni wazi kabisa kuwa huyu Mama alijiweka kwa Marehemu akiwa amelenga Mali na Urithi tu na kamwe siyo Upendo na Mapenzi.Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga Wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumb ya Salasala
View attachment 2337865
Soma comments yangu tenaKwan amezaa nae watoto mkuu ?
Kama hujui sema bhana, maneno meng ya nn!!!! Mim nlitaka kusema kuwa Kama amezaa nae mtoto atakuwa na half ya kuchukua urith Tena sehem kubwa tu ya Mali,Soma comments yangu tena
Kama hujui sema bhana, maneno meng ya nn!!!! Mim nlitaka kusema kuwa Kama amezaa nae mtoto atakuwa na half ya kuchukua urith Tena sehem kubwa tu ya Mali,
Narejea tena soma comments yangu hii hapa soma maandishi ya kijani. Nimesema tukifa wajane na watoto wetuWanazuwia mali za mjane lakini hawaja mzuwia Mrema kuoa wakati wa uhai wake. Ama kweli tukifa wajane na watoto wetu wanapitia wakati mgumu sana.
Raia Mwema limekuwa Gazeti la Udaku? Mbona Kuna Mambo Mengi Muhimu sana ya Kuandika, na Sio Udaku wa Mke wa Mrema???Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga Wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumb ya Salasala
View attachment 2337865
Pole sana Mjane kwa unayopitia ila amini hili jaribu nalo litapita hata liwe kubwa kuliko mlima wa Everest. Vuta juisi ya baridi ya kienyeji hapo kwa Mangi ushushie taratiiibu tayari nimeshakulipia.Raia Mwema limekuwa Gazeti la Udaku? Mbona Kuna Mambo Mengi Muhimu sana ya Kuandika, na Sio Udaku wa Mke wa Mrema???
Mahakama sasa nayo ifanye mabadiliko ya vifungu vya sheria ya ndoa hawa madada wa mjini wamekua majambazi wa mali za watoto wa marehemu kwa kigezo cha ndoa. Wanatake advantage ya ndoa kupata mali wasizo stahili na kuleta mifarakano kwenye familia za watu kisa wame issue mbususu.
Yan huyu kumpa utelezi mzee kwa miezi miwili mitatu leo anataka mali?? Kaolewa March 24 mzee kafariki August21 madada wa kichaga mmezidi tamaa na uroho. Huu muda anechuma nini na mzee??
Pengine mzee asingeoa angekua hai, dada etu alikua amesha bet mkeka wake anasubiri utiki tuu. Mi nasimama na watoto wa mrema walio simama na baba yako tangu namfahamu anashindana na Mkapa urais 95
Heka heka zote kapambana nchi nzima tukamjua hao watoto na marehem mke wake walikua nae kwenye shida na raha kweli, sio huyo dada alie tumia mbususu yake kimitego. Utelezi wa siku mbili unataka mali?? Dada Akapande maua yake huko machame aachane na majasho ya watu watamtoa damu.View attachment 2337900
View attachment 2337901
madada wa kichaga mmezidi tamaa na uroho. Huu muda anechuma nini na mzee??
[emoji115]
Jackline ntabakiwe alikuwa mchaga?
We ni zezeta kichwani
Tz kuna Sheria inayoheshimiwa?Sheria itachukua mkondo wake maana walifunga ndoa halali.
Wanaipinga wao kwa vigezo vipi vya sheria? Kama imefuata vigezo vyote, basi atawashinda akienda mahakamani.Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga Wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumb ya Salasala
View attachment 2337865
Bila kujali kabila wala dini, binti kama yule kwenda kuolewa Kwa mwanaume ambaye Yuko SAA 12 na nusu jioni ni utapeli.Nilicoment kwenye uzi wa Sexless siku zilizopita..sijui mods waliufuta , but nanukuu tena;
“ kuolewa na mchaga/mpare ni dalili ya kutokua na bahati maishani”