Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala

Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala

Mahakama sasa nayo ifanye mabadiliko ya vifungu vya sheria ya ndoa hawa madada wa mjini wamekua majambazi wa mali za watoto wa marehemu kwa kigezo cha ndoa. Wanatake advantage ya ndoa kupata mali wasizo stahili na kuleta mifarakano kwenye familia za watu kisa wame issue mbususu.

Yan huyu kumpa utelezi mzee kwa miezi miwili mitatu leo anataka mali?? Kaolewa March 24 mzee kafariki August21 madada wa kichaga mmezidi tamaa na uroho. Huu muda anechuma nini na mzee??

Pengine mzee asingeoa angekua hai, dada etu alikua amesha bet mkeka wake anasubiri utiki tuu. Mi nasimama na watoto wa mrema walio simama na baba yako tangu namfahamu anashindana na Mkapa urais 95

Heka heka zote kapambana nchi nzima tukamjua hao watoto na marehem mke wake walikua nae kwenye shida na raha kweli, sio huyo dada alie tumia mbususu yake kimitego. Utelezi wa siku mbili unataka mali?? Dada Akapande maua yake huko machame aachane na majasho ya watu watamtoa damu.View attachment 2337900
View attachment 2337901
Wapi kasema anataka mali?
 
Bila kujali kabila wala dini, binti kama yule kwenda kuolewa Kwa mwanaume ambaye Yuko SAA 12 na nusu jioni ni utapeli.

Ni ujambazi wa mali za watoto wa marehemu. Sheria inabidi iseme miaka mingapi ya ndoa ndo una haki ya kupewa mali za marehemu. Wakristo wana jubilei za miaka 25 50 75 na 100[emoji2]na kwenye sheria waseme basi ukidumu miaka hiyo na mwenza mali zote zinakua zako maana umeshiriki kuzitafuta.. na ukidum miezi miwili upewe sahani na kijiko
 
Wanaohamasisha uandishi wa wosia wanaenda kukosa cha kutuambia kama wosia umekuwa ni sehemu ya migogoro ya mirathi na si muarobaini.

Bila shaka hoja ni ileile,"Aliandika wosia akiwa na matatizo ya akili".
 
Mahakama sasa nayo ifanye mabadiliko ya vifungu vya sheria ya ndoa hawa madada wa mjini wamekua majambazi wa mali za watoto wa marehemu kwa kigezo cha ndoa. Wanatake advantage ya ndoa kupata mali wasizo stahili na kuleta mifarakano kwenye familia za watu kisa wame issue mbususu.

Yan huyu kumpa utelezi mzee kwa miezi miwili mitatu leo anataka mali?? Kaolewa March 24 mzee kafariki August21 madada wa kichaga mmezidi tamaa na uroho. Huu muda anechuma nini na mzee??

Pengine mzee asingeoa angekua hai, dada etu alikua amesha bet mkeka wake anasubiri utiki tuu. Mi nasimama na watoto wa mrema walio simama na baba yako tangu namfahamu anashindana na Mkapa urais 95

Heka heka zote kapambana nchi nzima tukamjua hao watoto na marehem mke wake walikua nae kwenye shida na raha kweli, sio huyo dada alie tumia mbususu yake kimitego. Utelezi wa siku mbili unataka mali?? Dada Akapande maua yake huko machame aachane na majasho ya watu watamtoa damu.View attachment 2337900
View attachment 2337901
Huyu ataambulia rambirambi tu.
 
Kama hujui sema bhana, maneno meng ya nn!!!! Mim nlitaka kusema kuwa Kama amezaa nae mtoto atakuwa na half ya kuchukua urith Tena sehem kubwa tu ya Mali,
Ukishaoa tu ndoa halali kisheria haijalishi umezaa mtoto na mtu au la ukidanja anarithi mali zako kiulaainii...
 
Nawapongeza Watoto wa Marehemu kwani kwa jinsi Baba yao alivyokuwa akiumwa ni wazi kabisa kuwa huyu Mama alijiweka kwa Marehemu akiwa amelenga Mali na Urithi tu na kamwe siyo Upendo na Mapenzi.

Hata hivyo Kibinadamu ( siyo kwa nia mbaya ) nawaomba Watoto wa Marehemu wakishamaliza Kugawa / Kugawana Mali za Marehemu Baba yao waangalie kitu Kimoja tu cha kumpa huyu Mama na Wasimtose mazima ili Kutomuudhi Marehemu Mzee Wao ambaye alimpenda sana huyu Mama na ndiye aliyemuuguza muda Wote hadi Umauti ulipomkuta.
Mrema kaanza kuumwa lini na huyu mama kaolewa lini? Labda Kama walianza kuishi kabla ya ndoa
 
Back
Top Bottom