Uzi ulifutwa uleNilicoment kwenye uzi wa Sexless siku zilizopita..sijui mods waliufuta , but nanukuu tena;
“ kuolewa na mchaga/mpare ni dalili ya kutokua na bahati maishani”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi ulifutwa uleNilicoment kwenye uzi wa Sexless siku zilizopita..sijui mods waliufuta , but nanukuu tena;
“ kuolewa na mchaga/mpare ni dalili ya kutokua na bahati maishani”
🤣🤣🤣🤣Roho mbaya tuu!🏃🏃
Hata mabosi wa jf pia ni wachaga/wapareItakuwa ilifutwa na mod Mchaga/Mpare.
Ndio kazi ya Kubenea siku zote. Ni binhwa Sana kwenye kudraft UDAKU hasa kwenye SIASAHuu udaku sasa.
Iko hivi, kati ya hao watoto nani alikuwa anashika kinyesi cha baba yao? Kwa ufupi huyo mama naamini mapenzi walianza siku nyingi sana tena nyingi mno.Nawapongeza Watoto wa Marehemu kwani kwa jinsi Baba yao alivyokuwa akiumwa ni wazi kabisa kuwa huyu Mama alijiweka kwa Marehemu akiwa amelenga Mali na Urithi tu na kamwe siyo Upendo na Mapenzi.
Hata hivyo Kibinadamu ( siyo kwa nia mbaya ) nawaomba Watoto wa Marehemu wakishamaliza Kugawa / Kugawana Mali za Marehemu Baba yao waangalie kitu Kimoja tu cha kumpa huyu Mama na Wasimtose mazima ili Kutomuudhi Marehemu Mzee Wao ambaye alimpenda sana huyu Mama na ndiye aliyemuuguza muda Wote hadi Umauti ulipomkuta.
Yas hawa watu wako very seriously na maisha hawataki mchezo mchezo. Kama wewe ni mpenda ya hovyo na taarabu utaona ni bahati mbaya kweli maishani.Nilicoment kwenye uzi wa Sexless siku zilizopita..sijui mods waliufuta , but nanukuu tena;
“ kuolewa na mchaga/mpare ni dalili ya kutokua na bahati maishani”
🤣🤣🤣🤣
Sheria ni za nchi mkuu. Kila mwananchi hana budi kuzifuataKwetu wachaga tuna sheria zetu za mirathi hizo za waswahili mahakamani kaeni nazo hukooo.
Mali ya mchaga haipatikani kwa kupanua miguu
Raia Mwema limekuwa Gazeti la Udaku? Mbona Kuna Mambo Mengi Muhimu sana ya Kuandika, na Sio Udaku wa Mke wa Mrema???
mjane unatuangusha.....hiyo ni njaa kali ya utosi. Unataka nyumba ulishiriki kuleta mawe ya kujengea msingi? au msingi ni ule mtori uliokuwa unampa marehemu?Mjane alisema hajafuata hela. Mumuache aiseee!😂😂😂😂
Teh teh, mbona kama kwa mzee manyHuyu mama alikuwa analia huku kavaa miwani. Mabinti acheni mteremko wachaga awapigwi kizembe zembe mtakufa bure