Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala

Wapi kasema anataka mali?
 
Bila kujali kabila wala dini, binti kama yule kwenda kuolewa Kwa mwanaume ambaye Yuko SAA 12 na nusu jioni ni utapeli.

Ni ujambazi wa mali za watoto wa marehemu. Sheria inabidi iseme miaka mingapi ya ndoa ndo una haki ya kupewa mali za marehemu. Wakristo wana jubilei za miaka 25 50 75 na 100[emoji2]na kwenye sheria waseme basi ukidumu miaka hiyo na mwenza mali zote zinakua zako maana umeshiriki kuzitafuta.. na ukidum miezi miwili upewe sahani na kijiko
 
Wanaohamasisha uandishi wa wosia wanaenda kukosa cha kutuambia kama wosia umekuwa ni sehemu ya migogoro ya mirathi na si muarobaini.

Bila shaka hoja ni ileile,"Aliandika wosia akiwa na matatizo ya akili".
 
Huyu ataambulia rambirambi tu.
 
Kama hujui sema bhana, maneno meng ya nn!!!! Mim nlitaka kusema kuwa Kama amezaa nae mtoto atakuwa na half ya kuchukua urith Tena sehem kubwa tu ya Mali,
Ukishaoa tu ndoa halali kisheria haijalishi umezaa mtoto na mtu au la ukidanja anarithi mali zako kiulaainii...
 
Mrema kaanza kuumwa lini na huyu mama kaolewa lini? Labda Kama walianza kuishi kabla ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…