Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
 
Ila pia ungemdodosa kama pia wajapan huwa wanaua wapinzani na kuwavunjia nyumba zao walizojenga kwa gharama zao kisa wamevunja sheria, hapo ndo chuki naye ilipoanzia.
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
 
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
Anaitwa nani na yukoje huyo mjapani.
Usitulishe matangonpori.
 
Wewe umefika Japan?!

Muulize mshenga Gwajima huwa anaenda enda kule!
Ungemuonyesha na barabara hii ingekuwa Japan huyo waziri mwenye dhamana ya barabara hiyo wangemfanyaje? Angepewa madaraka ya juu zaidi?
tapatalk_1572107234962.jpeg
 
"seeing is believing" ukiacha makando kando na hujuma kwa vyama vya upinzani na kudorora kwa demokrasia ndani ya ccm kweli kuna vitu vinaonekana tena ni vichocheo vya uchumi. kama barabara, reli, meli, hospitali, ukarabati wa shule.
 
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
Nyie watu nyie,hivi mnamjua kutofautisha kebehi na ukweli? sasa kama magufuli anapiga kazi na kuleta maendeleo kitu gani kinafanya uchumi wetu usinyae?
 
Kusinyaa kwa uchumi ni mgomo baridi ili ionekane ajafanya kitu. Ona Tanzania inavyojitangaza duniani kwa madege, tena yanetokana na kodi za watanzania. Kama wewe unampenda aluyetujazia mateja tz
 
Yaani engeneer mmoja wa kijapan ndo akisema huyo jamaa wa kijapan basi nasi tukubali kisa ni engeneer wa kijapan! Haya mimi nasema hivi ktk nchi kumi za kiafrika ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi sisi tz hatumo, source yangu imf! Sasa ww weka hayo ma source yako ya kusema engeneer mmoja wa kijapan kasema hivi na hivi! Yaani kwa kupenda sifa awamu hii kweli "kuna malimbukeni na washamba wa madaraka" end of quote.
 
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
Anaongea kwa sababu hajanyang'anywa passport yake, na Fedha zake bank kuchukuliwa kwa nguvu!
 
Back
Top Bottom