Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Aiseee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha!Amepiga story na albino wa kisukuma alafu anakuja kutupanga hapa eti kapiga story na mjapan
Wala sishangai. Anatafuta tenda nyingine huyo mjapani!Kaampa ajira kwanini asimsifie?
Weee una madaraka gani mpaka viongozi uwaite washamba? Umewahi kuwa nani katika nchi hii ? Usifuate mkumbo fikiria kabla hujapost kituYaani engeneer mmoja wa kijapan ndo akisema huyo jamaa wa kijapan basi nasi tukubali kisa ni engeneer wa kijapan! Haya mimi nasema hivi ktk nchi kumi za kiafrika ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi sisi tz hatumo, source yangu imf! Sasa ww weka hayo ma source yako ya kusema engeneer mmoja wa kijapan kasema hivi na hivi! Yaani kwa kupenda sifa awamu hii kweli kuna malimbukeni na washamba wa madaraka!
Mpumbavu saana wewe. Ukiulizwa maendeleo ndyo utaonesha ivyo vindege? Kipind cha JK tulipanda ndege had kwa elfu 90. Haya mabdege mnayoyapa promo sasa hivi unajua hata nauli yake?Kusinyaa kwa uchumi ni mgomo baridi ili ionekane ajafanya kitu. Ona Tanzania inavyojitangaza duniani kwa madege, tena yanetokana na kodi za watanzania. Kama wewe unampenda aluyetujazia mateja tz
Sikushindi wewe kwa mateso unayopitia kutwa kushinda unapost tu post za hovyo zisifikirisha! Huna shughuli ya kufanya zaidi ya hii ya kulipwa buku saba?Hahahaaa....... Bwashee unateseka!
Hivi siku hizi vyama vinamiliki barabara? Hiyo ya lumumba iliyochoka imejengwa na ccm? Jaribu kuwa unafikiri sawasawa basi! Na Sasa ni Kama umebaki peke yako kuanzisha vijiuzi vya kipuuzi visivyo na tija!Nilitamani hawa wajapan watujengee road yetu ya Ufipa!
Hahahaaa....... Bwashee karibu Moshi mjini jimbo liko wazi!Hivi siku hizi vyama vinamiliki barabara? Hiyo ya lumumba iliyochoka imejengwa na ccm? Jaribu kuwa unafikiri sawasawa basi! Na Sasa ni Kama umebaki peke yako kuanzisha vijiuzi vya kipuuzi visivyo na tija!
Weee una madaraka gani mpaka viongozi uwaite washamba? Umewahi kuwa nani katika nchi hii ? Usifuate mkumbo fikiria kabla hujapost kitu