Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

Toka utoke Uingereza umekuwa mtu wa kusifu sifu vitu vyo hovyo hovyo.
 
Yaani engeneer mmoja wa kijapan ndo akisema huyo jamaa wa kijapan basi nasi tukubali kisa ni engeneer wa kijapan! Haya mimi nasema hivi ktk nchi kumi za kiafrika ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi sisi tz hatumo, source yangu imf! Sasa ww weka hayo ma source yako ya kusema engeneer mmoja wa kijapan kasema hivi na hivi! Yaani kwa kupenda sifa awamu hii kweli kuna malimbukeni na washamba wa madaraka!
Weee una madaraka gani mpaka viongozi uwaite washamba? Umewahi kuwa nani katika nchi hii ? Usifuate mkumbo fikiria kabla hujapost kitu
 
Kusinyaa kwa uchumi ni mgomo baridi ili ionekane ajafanya kitu. Ona Tanzania inavyojitangaza duniani kwa madege, tena yanetokana na kodi za watanzania. Kama wewe unampenda aluyetujazia mateja tz
Mpumbavu saana wewe. Ukiulizwa maendeleo ndyo utaonesha ivyo vindege? Kipind cha JK tulipanda ndege had kwa elfu 90. Haya mabdege mnayoyapa promo sasa hivi unajua hata nauli yake?
 
Hahahaaa....... Bwashee unateseka!
Sikushindi wewe kwa mateso unayopitia kutwa kushinda unapost tu post za hovyo zisifikirisha! Huna shughuli ya kufanya zaidi ya hii ya kulipwa buku saba?
Yaani upo kinyume Cha slogan yako pendwa ya hapa kazi tu kwani hujawahi kuiishi! Pole zako.
 
Nilitamani hawa wajapan watujengee road yetu ya Ufipa!
Hivi siku hizi vyama vinamiliki barabara? Hiyo ya lumumba iliyochoka imejengwa na ccm? Jaribu kuwa unafikiri sawasawa basi! Na Sasa ni Kama umebaki peke yako kuanzisha vijiuzi vya kipuuzi visivyo na tija!
 
Hahahaaa....... Bwashee karibu Moshi mjini jimbo liko wazi!
 
Weee una madaraka gani mpaka viongozi uwaite washamba? Umewahi kuwa nani katika nchi hii ? Usifuate mkumbo fikiria kabla hujapost kitu

Mshamba na limbukeni utamjua tuu hata ukimuweka kwa chupa bado atatoa kidole ndo ww huyo!
 
Back
Top Bottom