Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

Umesema mjapani wa "Mwenge-moroco?" Wajapani ninaowafahamu mimi ni wale "wanaojinyonga" hata akidanganya tu ili kificha aibu anajitundika.Huyo wako si ajabu ni mlowezi kama Fujimori.Sembuse jamaa yako mwenye kasi na kiu ya kuua watu na mawazo!
 
Mpinge kwa hoja si uinjinia wake!
 
Kusinyaa kwa uchumi ni mgomo baridi ili ionekane ajafanya kitu. Ona Tanzania inavyojitangaza duniani kwa madege, tena yanetokana na kodi za watanzania. Kama wewe unampenda aluyetujazia mateja tz
Na magufuli anavyopenda mazuzu kama wewe? Ethiopia ina ndege zaidi ya mia moja,ina bwawa la kuzalisha umeme la kwanza kwa ukubwa africa,na tayari ina trein ya umeme? Je Ethiopia imeendelea au haijaendelea?
 
Na magufuli anavyopenda mazuzu kama wewe? Ethiopia ina ndege zaidi ya mia moja,ina bwawa la kuzalisha umeme la kwanza kwa ukubwa africa,na tayari ina trein ya umeme? Je Ethiopia imeendele haijaendelea?
Kasome ripoti ya bank ya dunia iliyotoka hivi karibuni!
 
Na magufuli anavyopenda mazuzu kama wewe? Ethiopia ina ndege zaidi ya mia moja,ina bwawa la kuzalisha umeme la kwanza kwa ukubwa africa,na tayari ina trein ya umeme? Je Ethiopia imeendelea au haijaendelea?

Pamoja na hivyo vitu Ethiopia ina umasikini wa kutupa! Wananchi wao wanaikimbia nchi na kila siku tunawakamata hapa wakipita kwenda sauzi kutafuta ahueni ya maisha.
Mnaropokaga sana mataga!
 
Kampa ajira gani? Ile kazi ya ujenzi wa ile barabara ya Morocco to mwenge ni msaada kutoka japani.
Na masharti wanafanya wajapan wenyewe. Huyo mleta thread ni mshamba, na huyo mjapan ni mshamba zaidi. Eti Africa mna bahati ya kupata Rais mchapa kazi!!
Kwani ni jiwe ni Rais wa Africa au?
Kaampa ajira kwanini asimsifie?
 
Hahahaaa........bwashee unateseka sana!
 
Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Punguza porojo... weka picha tuone...


Cc: mahondaw
 
Hahahaaa...... Picha ya mjapani inakuja mkuu!
 
Africa nzima nayo ina bahati kumpata wa chato?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu gani wanamtukana Magufuli?

Magufuli anajitukana mwenyewe kwa tabia zake za ajabu ajabu.

Sio yeye anayewaita wenzake vilaza na wapumbavu?!!

Sio yeye anayedanganya watu kuwa sukari alikuta 5000 akapunguza hadi 3000?

Sio yeye anayedanganya watu analeta maendeleo kwa fedha za ndani wakati deni la Taifa linazidi kukua?

Sio huyu aliyeshindwa kuajiri wala kupandisha mishahara ila ananunua ndege ili wananchi wanyonge wapande ha ha ha

Halafu wanakuja watu wanamtukana Magufuli haki hatutakubali

Tutapambana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…