Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.
Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.
Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda)...??
Hii Pisi naikubali muda Mrefu. Demu mwingine tuliachana 2018. Hii ndio nataka Nitulie Nayo
Mpaka Mambo yatakapobadilka Tena. Mimi Sio Mtu Wa Mademu Hua Nina Chaguzi Zangu Ambazo Nikikosa Ni Bora Tu Nitulie Singo.
Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Kumbe ndio Hali halisi, Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi..?
Hii Pisi Kuna Kipindi inashida Nashindwa Kumsaidia Kiasi Kidogo Cha fedha, Lakini Bado anakomaa na mm ananicheki Ananiuliza Mbona Kimya Sana. Usikae Kimya Baby Sana Nakupenda, Lakini Maisha yangu ya Papatu Papatu Bado. Hata kama Sina Hela ananiambia Nisikae Kimya Hua ananikumbuka Mno.
Saivi Hapa nimeweka Picha Yetu HomeScreen na LockScreen Ya Simu Yangu, Picha niliyopiga nae.......
Embu mnishauri Nitoe hii picha Au Nikomae na Hisia Zangu.
Ikumbukwe Kwamba 👇🏽
"Muda huamua ni nani unakutana naye katika maisha yako,
Moyo wako unaamua ni nani unataka katika maisha yako,
Tabia huamua nani abaki katika maisha yako."
Nampenda huyu Binti....
Nawasilisha