Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.

Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.

Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda). ??

Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi.

Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu. Nampenda huyu Binti.
Una miaka mingapi??

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kalipe mahari kwao umuoe, bila hivyo utabaki na picha kwenye lockscreen kila uki unlock simu unalia, ni ushauri tu mwanazengo.....
 
Ushauri Mzuri Sana Huu, Lakini

Kipato Changu Bado Ni Papatu Papatu. Sina Maisha Bado sitaweza kumudu familia, lakini Napambana.
 
Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.

Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.

Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda)...??

Hii Pisi naikubali muda Mrefu. Demu mwingine tuliachana 2018. Hii ndio nataka Nitulie Nayo Mpaka Mambo yatakapobadilka Tena. Mimi Sio Mtu Wa Mademu Hua Nina Chaguzi Zangu Ambazo Nilikosa Ni Bora Tu Nitulie Singo.

Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Kumbe ndio Hali halisi, Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi.

Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu.

"Muda huamua ni nani unakutana naye katika maisha yako,

Moyo wako unaamua ni nani unataka katika maisha yako,

Tabia huamua nani abaki katika maisha yako."

Nampenda huyu Binti.

Nawasilisha
Mkuu inaonekana kwa uandishi wako huo bado una mihemko ya balekhe!

Ulishasikia wapi mwanamke mmoja akawa ni "mkali" machoni kwa kila mwanaume?

Kila mwanaume ana "mkali" wake machoni pake bhana.

Halafu haujafunguka sawasawa, huyo binti alishakukubalia kuwa wapenzi na mwishowe mje kufunga ndoa?

Tusianze kukomaza mafuvu kushauri mahusiano ya pen pals ama ya kuhusudu mapicha picha ya mapambio ya kuuzia magazeti ya udaku.
 
Huyu Binti Tayari Amekubali Tufunge Ndoa Ila Sina Mpunga Papatu Papatu. Amesema ananiskilizia. 🥱🥱🥱
 
Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.

Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.

Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda)...??

Hii Pisi naikubali muda Mrefu. Demu mwingine tuliachana 2018. Hii ndio nataka Nitulie Nayo Mpaka Mambo yatakapobadilka Tena. Mimi Sio Mtu Wa Mademu Hua Nina Chaguzi Zangu Ambazo Nilikosa Ni Bora Tu Nitulie Singo.

Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Kumbe ndio Hali halisi, Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi.

Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu.

"Muda huamua ni nani unakutana naye katika maisha yako,

Moyo wako unaamua ni nani unataka katika maisha yako,

Tabia huamua nani abaki katika maisha yako."

Nampenda huyu Binti.

Nawasilisha

Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.

Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.

Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda)...??

Hii Pisi naikubali muda Mrefu. Demu mwingine tuliachana 2018. Hii ndio nataka Nitulie Nayo Mpaka Mambo yatakapobadilka Tena. Mimi Sio Mtu Wa Mademu Hua Nina Chaguzi Zangu Ambazo Nikikosa Ni Bora Tu Nitulie Singo.

Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Kumbe ndio Hali halisi, Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi.

Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu.

"Muda huamua ni nani unakutana naye katika maisha yako,

Moyo wako unaamua ni nani unataka katika maisha yako,

Tabia huamua nani abaki katika maisha yako."

Nampenda huyu Binti.

Nawasilisha
Acha uboya wewe, wanaume wanaojielewa huwa hawaweki hata siku moja picha za demu kwenye homescreen za simu zao wala profile pics za account zao kwenye social media
 
Poa Mkuu, ntalifakari maana nlikua nataka kumweka na WhatsApp DP.
 
Back
Top Bottom