Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Mi sijui bana ila mkiachana mi nataka hiyo nafasi.... nimeipenda kwakweli kuwekwa kwenye sikirini
 
Naombeni ka summary kadogo kwa alie elewa tafadhali
Yaani Kuna Huyu Mpenzi Wangu Bado Sijamla Tunda, Lakini nimemuweka HomeScreen ya Simu Yangu He Hili Ni Sawa?????

Nampenda.
 
Kamuweka Wallpaper mpenzi mpya; Wenzake wanamuweka Kitandani. Anaomba ushauri wake afanye nini kabla hawajafungua Shule
Ndo ivyoo, Kitandani Bado, Kuhusu Hilo ni Huko Mbele Mbele Yao.
 
Back
Top Bottom