Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

Mimi kama kijana mwenzako nakushauri kuwa cha muhimu hakikisha unajali afya yako, then ishi maisha hayana mwongozo. Kikubwa fuata passions zako na vipawa ulivyojaaliwa na mungu. Hakuna ushauri maalumu kwa vijana wote, kila mtu ana mapito yake. Kingine kubaliana na hali uliyonayo kwanza hapo ndo utapata mwanya wa kujua nini kifanyike kuboresha zaidi.
 
Zamani nilivoambiwa ujana maji ya moto sikuelewa ila sasa najua....

Sasa hivi kuna mshangazi najua kabisa huu mshangazi haupo salama ila sasa nashindwa kumuepuka maana ndio anakuaga na connection za kazi sana
 
Back
Top Bottom