Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kik mjini warumi. Tutamsifiaje Ana hela sasaTatizo domo anafanya watu wajinga na anapenda mambo makubwa kuliko uwezo wako
Mbona hata kupanga pia ni hatua nzuri tena , anahitaji pongezi pia Ila why adanganye, nyumba ya south yenyewe wamepanga