Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
Mkweee[emoji15] [emoji15] [emoji15] kapanga mbwembwe zote hizooo..si atafute uwanja mbopo ajengeeee!!!kaah!gharama za kupanga hapo shilingi ngapi
 
Ila domo anapenda uswahili jamani , yani hakui, mbona hata angesema kapanga poa tu , maana kajitahdi

Mwenye hiyo nyumba ni rafiki wa kinje, naye ni muuza Ngada
Kumbee. Atakua nani huyo??
 
Aman iwe nanyi Leo ilikuwa ni siku ambayo nyota Wa muzik diamond amezaliwa

Mbali na kusherekea siku ya kuzaliwa jamaa kaenda kukod jumba kubwa na kupiga nalo picha kisha kuwambia watu kuwa ni lake

Aisee maisha haya bhana

Picha ya jumba iko comment no one hapo chin
 
Hii hapa
Screenshot_20181002-221040.jpeg
 
Back
Top Bottom