Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Women are the hardest creatures to understand.Warumi bhana wewe Si ndo umetoka kusema huwa hepibazidei ya diamond ilidoda au siyo wewe
Acha utani as jamaa angu,ndo hili linalosemekana hekalu...!!!?
Hongera mkuu!!!
HaahahahahahYule tena , anaanzaje kupitwa, Ila isije tu ikawa ya kupanga maana Yule kwa kupenda kiki
Sasa shoga yenu Zari kumuandikia mwenzie ujumbe wa vile ndo nini eti "Happy bday baba wa Vikima""
Safi sana MondiView attachment 884948
mdo mdo utafika tu...Hongera
Hahahhahha warumi bana ingekuwa chuki inakushibisha ungekua na kiriba tumbo maana si chuki ya kawaida kwa hamisa.Ila domo c ndo alianza kumuita zari kima, ndo raha ya kuwa independent , hamisa Hana jeuri ya kumuita domo hivyo , atakula wapi mjini , kodi atalipaje🤣🤣🤣