Zari alijishitukia tu! Kama utakumbuka, Diamond alisema "...siwezi kuacha kuchezeana na wanawake wakati hii ndo kazi yangu!" Akaendelea ndipo akamalizia "...halafu anatokea kima mmoja...!" Akimaanisha anatokea kima mmoja anataka kumpangia!Ila domo c ndo alianza kumuita zari kima, ndo raha ya kuwa independent , hamisa Hana jeuri ya kumuita domo hivyo , atakula wapi mjini , kodi atalipaje🤣🤣🤣
Sasa ni miezi mingapi ilipita tangu Zari aachane na Diamond na siku Diamond alipoongea ile kauli?
Ukweli ni kwamba kuna makima kibao wanaotaka kumpangia Diamond atembee na nani, amshike na asimshike nani, n.k! Hawa makima ndio aliwalenga lakini Zari akajishitukia kutokana na maneno ya Instagram!