Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Hii ndo nyumba yake angalia thamani yake wakati dalali anaitangaza
Screenshot_20181003-003207.jpg
 
Mange katoa hadi namba ya mwenye nyumba, chezeya
 
Hiyo nyumba mbona uwezo wa kununua anao 200% sio lazima atoe cash yake anaweza kuchukua mkopo bank kwa kipato chake akapewa,shida ya mange ni roho mbaya iliyochanganyika na umasikini mana huko alipo hakuna anaejua anakaa wapi.
Hata nyumba ya SA alisema chibu kapanga na blahblah kibao
 
Yani mange anapenda wenzie wawe masikini kama yeye. Akiona mtu kapata basi atafukunyua yasiyomuhusu kumuumbua
 
Kwa afya ile lazima uwe na roho mbaya,huko alipo anaishi sijui stoo.chibu bank yeyote inampa mkopo hata 2bn mana mzunguko wake unalipa huo mkopo vizuri bila kusumbua,istoshe nyumba inaweza postiwa kwa 2bn ila mazungumzo unaweza kuta umenunua nyumba kwa 1bn
 
Hiyo nyumba mbona uwezo wa kununua anao 200% sio lazima atoe cash yake anaweza kuchukua mkopo bank kwa kipato chake akapewa,shida ya mange ni roho mbaya iliyochanganyika na umasikini mana huko alipo hakuna anaejua anakaa wapi.
Hata nyumba ya SA alisema chibu kapanga na blahblah kibao

Ni kweli , chibu kwa level aliyofikia kununua nyumba kama hiyo sio miujiza Ila bilion mbili kaka ni rahis kuitaja tu kwa mdomo
 
OFF TOPIC...Kwa hiyo nyumba kama hii ambayo price yake ni 2B Dalali bado atalipwa 10 percent kama kawaida au imekaaje hii?

Binamu billion mbili mchezo? , kama nyumba ya hamisa tu aliyopanga ghorofa alilipa mil 6 akakimbia sasa apo kuna mtu wa kununua nyumba bilion 2
 
Back
Top Bottom