screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
[emoji56][emoji56][emoji56]basi hata kama una rafiki mwenye gari na hajaoa utamwambia kuna mzigo hapaAsante mkuu,
Nilishaoa kabla hata ya hilo gari.
Msalimie Sana dada 'etu!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji56][emoji56][emoji56]basi hata kama una rafiki mwenye gari na hajaoa utamwambia kuna mzigo hapaAsante mkuu,
Nilishaoa kabla hata ya hilo gari.
Msalimie Sana dada 'etu!.
[emoji56][emoji56][emoji56]basi hata kama una rafiki mwenye gari na hajaoa utamwambia kuna mzigo hapa
Hahahhahha warumi bana ingekuwa chuki inakushibisha ungekua na kiriba tumbo maana si chuki ya kawaida kwa hamisa.
Kwani akinunuaa wewe kinakuuma ninii???Hiyo nyumba haijauzwa, imepangishwa
Hiyo nyumba mbona uwezo wa kununua anao 200% sio lazima atoe cash yake anaweza kuchukua mkopo bank kwa kipato chake akapewa,shida ya mange ni roho mbaya iliyochanganyika na umasikini mana huko alipo hakuna anaejua anakaa wapi.Mange katoa hadi namba ya mwenye nyumba, chezeya
Yani mange anapenda wenzie wawe masikini kama yeye. Akiona mtu kapata basi atafukunyua yasiyomuhusu kumuumbuaHiyo nyumba mbona uwezo wa kununua anao 200% sio lazima atoe cash yake anaweza kuchukua mkopo bank kwa kipato chake akapewa,shida ya mange ni roho mbaya iliyochanganyika na umasikini mana huko alipo hakuna anaejua anakaa wapi.
Hata nyumba ya SA alisema chibu kapanga na blahblah kibao
Yani ni vituko plus plus.Yaani instagram nzima hainogi leo ni story za dai kuhusu nyumba na billion 2View attachment 885333
Kwa afya ile lazima uwe na roho mbaya,huko alipo anaishi sijui stoo.chibu bank yeyote inampa mkopo hata 2bn mana mzunguko wake unalipa huo mkopo vizuri bila kusumbua,istoshe nyumba inaweza postiwa kwa 2bn ila mazungumzo unaweza kuta umenunua nyumba kwa 1bnYani mange anapenda wenzie wawe masikini kama yeye. Akiona mtu kapata basi atafukunyua yasiyomuhusu kumuumbua
Hiyo nyumba mbona uwezo wa kununua anao 200% sio lazima atoe cash yake anaweza kuchukua mkopo bank kwa kipato chake akapewa,shida ya mange ni roho mbaya iliyochanganyika na umasikini mana huko alipo hakuna anaejua anakaa wapi.
Hata nyumba ya SA alisema chibu kapanga na blahblah kibao
OFF TOPIC...Kwa hiyo nyumba kama hii ambayo price yake ni 2B Dalali bado atalipwa 10 percent kama kawaida au imekaaje hii?
Mkuu haka karamani nitakapaje