Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Hehehee.. Ninekupata kabisa kabisa. Kumbe Ndo maana hela IPO basi. Nikajua walipiga block hiyo kitu kumbe bado IPO.
trust me that shit was an inside job....

it was a mission to eliminate competition....

but in order to cover it up walikamatwa hadi watu wa mtandao husika ili watu wasistuke ila si wote now wapo nje na urafiki ndio kwanza umenoga....

stuka dada angu 😂😂 u cant be friend wit someone who once put u behind bars tena kwa case ya coke unless it was all planned to look like......
 
trust me that shit was an inside job....

it was a mission to eliminate competition....

but in order to cover it up walikamatwa hadi watu wa mtandao husika ili watu wasistuke ila si wote now wapo nje na urafiki ndio kwanza umenoga....

stuka dada angu [emoji23][emoji23] u cant be friend wit someone who once put u behind bars tena kwa case ya coke unless it was all planned to look like......
It makes sense.
 
Ndo vizuri lakini hela irudi mtaani. Wadada walishaanza kuchoka sponsors hamna. Kama namuona huyo baba atakavyopapatikiwa na wadada SAsa hivi
😂😂😂😂😂 anajulikana sana sema sio mtu wa showoffs kama zile za kina ndama
 
thats one.... he got many..... tax free bizness IUKWIM
Si mchezo bila kufanya hayo mambo hauwezi kupata long money....Matajiri wa bongo wengi magamo aka magumashi mengi.

"Ay, I could show you how to juggle anything
And make it double Weed, blow, real estate, liquor store
With no trouble."- T.I
 
Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
Kapanga mwenye nyumba tunamfahamu
 
Tatizo domo anafanya watu wajinga na anapenda mambo makubwa kuliko uwezo wako


Mbona hata kupanga pia ni hatua nzuri tena , anahitaji pongezi pia Ila why adanganye, nyumba ya south yenyewe wamepanga
Siku aliposema amenunua mwananyamala mtaa mzima nilichoka, akaja na dili la kuimba kombe la dunia, akaja na mjengo Wa south Africa, akaja na acc ya tifa kuwa na bil. Moja. Lakini kwa njia hii anawapata kibao hasa madem anawalamba bwelele
 
Back
Top Bottom