Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
hongera mkuu nokia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera mkuu nokia
lazaro mutu ya pesa ndefuKumbee. Atakua nani huyo??
Kweli anayo pesa Sio kwa huo mjengo.lazaro mutu ya pesa ndefu
hongera mkuu nokia
thats one.... he got many..... tax free bizness IUKWIMKweli anayo pesa Sio kwa huo mjengo.
mkuu umebakiza padogo tu kumaliza shughuli pevuMjengo wa daimondi huo
Hehehee.. Ninekupata kabisa kabisa. Kumbe Ndo maana hela IPO basi. Nikajua walipiga block hiyo kitu kumbe bado IPO.thats one.... he got many..... tax free bizness IUKWIM
trust me that shit was an inside job....Hehehee.. Ninekupata kabisa kabisa. Kumbe Ndo maana hela IPO basi. Nikajua walipiga block hiyo kitu kumbe bado IPO.
It makes sense.trust me that shit was an inside job....
it was a mission to eliminate competition....
but in order to cover it up walikamatwa hadi watu wa mtandao husika ili watu wasistuke ila si wote now wapo nje na urafiki ndio kwanza umenoga....
stuka dada angu [emoji23][emoji23] u cant be friend wit someone who once put u behind bars tena kwa case ya coke unless it was all planned to look like......
u see.... now they roll free and makin big cash no more competitionIt makes sense.
Ndo vizuri lakini hela irudi mtaani. Wadada walishaanza kuchoka sponsors hamna. Kama namuona huyo baba atakavyopapatikiwa na wadada SAsa hiviu see.... now they roll free and makin big cash no more competition
😂😂😂😂😂 anajulikana sana sema sio mtu wa showoffs kama zile za kina ndamaNdo vizuri lakini hela irudi mtaani. Wadada walishaanza kuchoka sponsors hamna. Kama namuona huyo baba atakavyopapatikiwa na wadada SAsa hivi
Kweli Hana show off[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajulikana sana sema sio mtu wa showoffs kama zile za kina ndama
Si mchezo bila kufanya hayo mambo hauwezi kupata long money....Matajiri wa bongo wengi magamo aka magumashi mengi.thats one.... he got many..... tax free bizness IUKWIM
Kapanga mwenye nyumba tunamfahamuNdiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
sasa kama mwenye nyumba kaamua kuuza nyumba yake?.. AmeinunuaKapanga mwenye nyumba tunamfahamu
Siku aliposema amenunua mwananyamala mtaa mzima nilichoka, akaja na dili la kuimba kombe la dunia, akaja na mjengo Wa south Africa, akaja na acc ya tifa kuwa na bil. Moja. Lakini kwa njia hii anawapata kibao hasa madem anawalamba bweleleTatizo domo anafanya watu wajinga na anapenda mambo makubwa kuliko uwezo wako
Mbona hata kupanga pia ni hatua nzuri tena , anahitaji pongezi pia Ila why adanganye, nyumba ya south yenyewe wamepanga