Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

Hongereni sana
 
Ona hii kenge.... 3B unaijua wewe????
Mantainance yes it's costy lakini sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa

Uliza professionals wa hiyo industry ndo uje hapa na andiko lenye mbwembwe.
Haya sawa. Ubaya naweza nikawa natumia nguvu kwa mtu ambaye anapambana kutumia MB zake za 500 kabla hazija expire
 
Hivi Diamond hanaga mjengo au haonagi umuhimu wa kupost mambo kama hayo,ya mijengo....?
Anyway.
Mganga wake kamwambia nyumba ni haramu, yeye anapanga tu mpaka sasa na anaishi na Mama yake na ndugu zake katika umri ule.
 
Mganga wake kamwambia nyumba ni haramu, yeye anapanga tu mpaka sasa na anaishi na Mama yake na ndugu zake katika umri ule.
Mmmmh! siamini,yaani akina BABA Levo wajenge,yeye asijenge?
Angalia gharama ya rol Royce tu,ni zaidi ya nyumba,akose nyumba kweli?
Haiingii akilini kabisa.
 
Bosi Ruge nae kuna mchango wake kabla hajatangulia mbele ya haki
 
Hongera zao mabilioneaaa wa Tanzania hao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…