OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakuja tu, tuwape mudaHawataki kujibu
Kwanini miaka mitano mkuu? Mbona mbali sana? Kama hela ni ya kusikilizia namna hiyo si ujenge ya kawaida? At least ungeniambia 3yrsView attachment 2163039
View attachment 2163041
View attachment 2163043
Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
Hii haizidi 18mView attachment 2163039
View attachment 2163041
View attachment 2163043
Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
kwa experience yangu ndogo naona ni kama itanila 80-100m. Maana yake kila mwaka nitenge 20-25mKwanini miaka mitano mkuu? Mbona mbali sana? Kama hela ni ya kusikilizia namna hiyo si ujenge ya kawaida? At least ungeniambia 3yrs
huo sasa utani mkuuHii haizidi 18m
Kwanini umeamua bati liwe dizaini ya shed?View attachment 2163039
View attachment 2163041
View attachment 2163043
Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
Hata mimi nimeona haileti appearance nzuri,kwa sababu ni draft bado nitaiweka kawaidaKwanini umeamua bati liwe dizaini ya shed?
Ooh okay.Hata mimi nimeona haileti appearance nzuri,kwa sababu ni draft bado nitaiweka kawaida
80m-100m kwa huo uchafu hapo?kwa experience yangu ndogo naona ni kama itanila 80-100m. Maana yake kila mwaka nitenge 20-25m
Yupo sawa.80m-100m kwa huo uchafu hapo?
Pesa sio matako kila mtu atakua nazo.
mwenzetu umepata teuziView attachment 2163039
View attachment 2163041
View attachment 2163043
Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
unatukosea heshima Jukwaa la Ujenzi,peleka matako majukwaa yenye vichaa wenzio80m-100m kwa huo uchafu hapo?
Pesa sio matako kila mtu atakua nazo.
sio kweli brotherYa kawaida kawaida andaa 300M
Huyo ana stress za maishaYupo sawa.