Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

Habari wadau,

Napita tu wadau, nasambaza upendo huu kwa wafanya biashara/makampuni tusiingie hasara;

31March ni deadline (siku ya mwisho) kufanya MAKADIRIO YA KODI. siku moja ya kuchelewa faini 225,000/=
KWA MSAADA ZAIDI NICHEKI 0788104228

ALARM.JPG
 
Inategemea ghorofa standard 120m. Ukiwa mjanja 100m.
Hizi ni zile za juu ka chumba kamoja na finishing ya avarage quality. Kama ameamua kuyavulia nguo maji bora utengeneze kitu kizuri tu na sio ghorofa za vichogo.
 
Hizi ni zile za juu ka chumba kamoja na finishing ya avarage quality. Kama ameamua kuyavulia nguo maji bora utengeneze kitu kizuri tu na sio ghorofa za vichogo.
Three bedrooms, finishing ya kawaida wala siyo low quality.
Kitu kizuri haimaanishi chochote mkuu, ni mawazo tu.
 
Three bedrooms, finishing ya kawaida wala siyo low quality.
Kitu kizuri haimaanishi chochote mkuu, ni mawazo tu.
Unamaanisha 3 bedroom juu na total cost ni 100m. Hii hesabu sio sawa maana pagale kwa wastani litafikisha 70m sasa finishing ya 30m hapo ni nini ?
 
Back
Top Bottom