Hayo ndio makadirio ya chini kabisa, sasa ww toa hiyo estimation yako 50m kwa pagale.
Thumb rule estimation.
Msingi (isolated footings)
Nitakuwa na trapezoidal footings 11, tatu kati ya hizo (za katikati) zitakuwa na depth ya 1.2m na mapana ya 1.4m X1.4m.
Footings nane zilizobaki 1.2m na mapana ya 1.2m x 1.2m.
Footings peke yake ni mifuko 80 ya cement na kokoto tani 8 na mchanga tani 4 kwa rough estimates including nondo ni 3 million.
Plinth Beam 6.25 cubic meters concrete. SAwa na cement mifuko 55 na kokoto tani 5. Nondo ni kama nusu tani. Gharama ni kama 3million.
Ground floor slab, Kokoto tani 20 na zege juu yake cubic meters 10. jumla milioni 2.
Total 8 million .
Columns zote zitachukua 4.5 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Beam ya suspended slab 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Slab itatumia concrete 13 cubic meters na nondo tani 1.2 jumla milioni 6.
Stairs 4.5 cubic meters of concrete na nusu tani ya nondo. Jumla milioni 3
Total 13 mil.
Roof beam 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Kuezeka 6m
Total 8million.
Brickwork
Tofali 7,000 na mifuko ya cement 100 jumla 10 million.
Ufundi 30% total 12m
Jumla 51m.