Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

Unamaanisha 3 bedroom juu na total cost ni 100m. Hii hesabu sio sawa maana pagale kwa wastani litafikisha 70m sasa finishing ya 30m hapo ni nini ?
Pagale kufikisha 70m hiyo inaegemea na soil bearing capacity ya udongo labda na local factors zingine, lakini pagale 50 finishing 50.
Hiyo tambarare kichanga cha wastani.
8m x 8m
11 footings
11 columns
2 flights za stairs
Metal roofing.
Kwanza pagale 30-40m inaweza kutosha.
 
20220414_190034.jpg

Mkuu ukiwa na two bedrooms na drawing room hiyo 100 haiwezi kutosha? Idea yangu nyingine ni kwamba chini niwe na plan kama hiyo lakini hizo bedrooms ziwe extension tu nifunike bati. Halafu sehemu inayobaki niweke slab itayobeba two rooms na drawing room
 
Hilo Pagale unabana vipi hadi ufike 50 ?
Msingi 20m
Tofali ground floor- 5m
Zege la slab & stairs, lenta - 20m
Tofali 1st floor - 5m
Kupaua & bati- 15m
Umeme & plumbing provision- 1.5m

Hayo ndio makadirio ya chini kabisa, sasa ww toa hiyo estimation yako 50m kwa pagale.
 
View attachment 2187533

Hizo juu ni 3 bedrooms, gharama kubwa itakupiga kwenye zege na kwenye hizo hatua huwezi tumia fundi wa mtaani ili upate kitu cha uhakika. Pagale unaweza pata kwa 60m-70m. Finishing ni subjective ila weka 70% ya gharama za Pagale, 49m, jumla 119m.
 
Kwanini upaue kwa 15m?
Kwanini msingi uwe 20m
Slab/stairs kwanini iwe 20m?
 
Kuna hii page hapa huwa wanatoa makadirio na muundo wa nyumba unaweza ukapitia ukapata mawili matatu pia mfano mmoja wapo ni huu
chrome_screenshot_1649963329826.jpg
 
Hayo ndio makadirio ya chini kabisa, sasa ww toa hiyo estimation yako 50m kwa pagale.
Thumb rule estimation.

Msingi (isolated footings)

Nitakuwa na trapezoidal footings 11, tatu kati ya hizo (za katikati) zitakuwa na depth ya 1.2m na mapana ya 1.4m X1.4m.
Footings nane zilizobaki 1.2m na mapana ya 1.2m x 1.2m.
Footings peke yake ni mifuko 80 ya cement na kokoto tani 8 na mchanga tani 4 kwa rough estimates including nondo ni 3 million.

Plinth Beam 6.25 cubic meters concrete. SAwa na cement mifuko 55 na kokoto tani 5. Nondo ni kama nusu tani. Gharama ni kama 3million.
Ground floor slab, Kokoto tani 20 na zege juu yake cubic meters 10. jumla milioni 2.
Total 8 million .

Columns zote zitachukua 4.5 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Beam ya suspended slab 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Slab itatumia concrete 13 cubic meters na nondo tani 1.2 jumla milioni 6.
Stairs 4.5 cubic meters of concrete na nusu tani ya nondo. Jumla milioni 3
Total 13 mil.

Roof beam 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Kuezeka 6m
Total 8million.

Brickwork
Tofali 7,000 na mifuko ya cement 100 jumla 10 million.

Ufundi 30% total 12m
Jumla 51m.
 
Wewe umeamua ufanye ligi, unaongea vitu kwa nadharia za juu na kupindisha, nenda na hiyo 8m ukajenga msingi wa ghorofa, kila la kheri.
 
Wee elezea msingi wa 20m utakavyoujenga.
Ikiwezekana weka mchoro.
 
Hizo juu ni 3 bedrooms, gharama kubwa itakupiga kwenye zege na kwenye hizo hatua huwezi tumia fundi wa mtaani ili upate kitu cha uhakika. Pagale unaweza pata kwa 60m-70m. Finishing ni subjective ila weka 70% ya gharama za Pagale, 49m, jumla 119m.
Nimekupata mkuu. nimeweka slab ya 38.5msq
 
Thumb rule estimation.

Msingi (isolated footings)

Nitakuwa na trapezoidal footings 11, tatu kati ya hizo (za katikati) zitakuwa na depth ya 1.2m na mapana ya 1.4m X1.4m.
Footings nane zilizobaki 1.2m na mapana ya 1.2m x 1.2m.
Footings peke yake ni mifuko 80 ya cement na kokoto tani 8 na mchanga tani 4 kwa rough estimates including nondo ni 3 million.

Plinth Beam 6.25 cubic meters concrete. SAwa na cement mifuko 55 na kokoto tani 5. Nondo ni kama nusu tani. Gharama ni kama 3million.
Ground floor slab, Kokoto tani 20 na zege juu yake cubic meters 10. jumla milioni 2.
Total 8 million .

Columns zote zitachukua 4.5 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Beam ya suspended slab 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Slab itatumia concrete 13 cubic meters na nondo tani 1.2 jumla milioni 6.
Stairs 4.5 cubic meters of concrete na nusu tani ya nondo. Jumla milioni 3
Total 13 mil.

Roof beam 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Kuezeka 6m
Total 8million.

Brickwork
Tofali 7,000 na mifuko ya cement 100 jumla 10 million.

Ufundi 30% total 12m
Jumla 51m.
uzi umeanza kunoga
 
Kwa uzoefu tu, gharama ya ujenzi wa nyumba ya makazi ya ghorofa huanzia 120mil kwenda juu...

Eneo unalojenga huamua sana gharama za structure ya chini, mtu anayejenga ghorofa ya ramani ile ile Goba si sawa na Kigamboni na si sawa na Ununioa na si sawa na Magomeni...
 
Back
Top Bottom