Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

38.5X Sh.500,000 = 19,250,000
Bajeti ya floor
Ghorofa ujenzi wake hufuata equations mbalimbali ambazo kwa wastani hautakuwa mbali kwa zaidi ya asilimia kumi.
Watu wengi wa Real estate hutumia formula hii

Nyumba ya chini + (1.5 x nyumba ya chini)

Ukitaka ghorofa ya tatu unachukua ghorofa ya pili kama ni nyumba ya chini na unajumlisha gharama zote.

Hutakuwa mbali kwa zaidi ya 10%.
 
Hiyo ni rough estimate ya jengo zima lenye hiyo area.

Ila kama unataka mchanganuo kamili kuna watu wanasomea hayo mambo miaka minne pale ARU wanaitwa QS watafute watakusaidia.
Ni jengo zima kwa floor moja ama zote 2?
 
Back
Top Bottom