klinbritetz
Senior Member
- Sep 23, 2020
- 160
- 125
Masha allahKila la kheri
Watu mna hela!kwa experience yangu ndogo naona ni kama itanila 80-100m. Maana yake kila mwaka nitenge 20-25m
Asante mremboKila la kheri
100m haitoshi hapo mkuu. kama wabisha weka analysisHuu wa kwangu umegharimu milioni miaπππ
View attachment 2170585
Hapo andaa minimum 250Mkwa experience yangu ndogo naona ni kama itanila 80-100m. Maana yake kila mwaka nitenge 20-25m
Acha fix mkuu Behaviourist wewe ni mkongwe humu una heshima zakoHuu wa kwangu umegharimu milioni mia[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2170585
Kwa hiyo mkongwe siruhusiwi kumiliki mjengo?πππAcha fix mkuu Behaviourist wewe ni mkongwe humu una heshima zako
Rukhsa ila huo mjengo unazidi 200m hadi 300mKwa hiyo mkongwe siruhusiwi kumiliki mjengo?[emoji16][emoji16][emoji16]
napenda kuishi ghorofani hata nikichukua lodge huwa nakaa ghorofani. hasa kupata muda wa kutosha kuwa peke yangu ama na wife,kusoma,kufanya kazi na brainstormingunataka kuishi ghorofani au
Hiyo ni size. Kuna slab pale litakula siyo chini ya milioni 30.Ya kawaida kawaida andaa 300M
Ni kweli kabisa brother milioni 300 siyo nyingi kwenye ghorofa. Umeshawahi kujenga wewe?sio kweli brother
Inategemea ghorofa standard 120m. Ukiwa mjanja 100m.Ni kweli kabisa brother milioni 300 siyo nyingi kwenye ghorofa. Umeshawahi kujenga wewe?
Hizi ni zile za juu ka chumba kamoja na finishing ya avarage quality. Kama ameamua kuyavulia nguo maji bora utengeneze kitu kizuri tu na sio ghorofa za vichogo.Inategemea ghorofa standard 120m. Ukiwa mjanja 100m.
Three bedrooms, finishing ya kawaida wala siyo low quality.Hizi ni zile za juu ka chumba kamoja na finishing ya avarage quality. Kama ameamua kuyavulia nguo maji bora utengeneze kitu kizuri tu na sio ghorofa za vichogo.
Unamaanisha 3 bedroom juu na total cost ni 100m. Hii hesabu sio sawa maana pagale kwa wastani litafikisha 70m sasa finishing ya 30m hapo ni nini ?Three bedrooms, finishing ya kawaida wala siyo low quality.
Kitu kizuri haimaanishi chochote mkuu, ni mawazo tu.