atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Unajua kwasababu na ww ni punga tena wa kujitakia,usisingizie homon imbalanceNdo ivo itabidi wakubaliane na ukweli na uhalisia ulivyo, ila hii dhana potofu na mtazamo hasi hapana inaumiza wahusika kwa kweli. Mie najua hali ilivyo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Duu..aisee!!Nenda Uzi wa wanawake kwanini wanapenda kuliwa kisamvu utamuona.
Duu...kwahyo wewe ndy unajuwa uhalisia sio?Mie sitetei just naongea uhalisia,
Sawa mkuuHapa tunajadili suala la gayism na hormonal imbalances, kuhusu hayo mengine mie sihusiki na sihitaji. Zijadiliwe hoja na sio personal attacks.
Sawa mkuu,,usihofu tupo pamojaHiyo avatar n msanii wa kike, sasa hizo fikra na mtazamo wako umetoa kwa indicator ipi kweny hii avatar angu? Na una amini vp maneno ya mtu ambaye hana ufahamu na mie? Poleeeeh sanaaaah, zijadiliwe hoja za msingi kwa suala husika sio maisha ya mtu binafsi.
Exposure ikikosekana watu wanajiropokea tu bestie.Hebu kua muelewa mkuu, ndo maan nmekuambia kuwa hizo n logic za watu kua kwamba mtu akiwa na element tofauti na jinsia yake bas n Gay, kumbe suala haliko hivyo,
Homornal imbalances haihusian na Gay, ila watu ndio wanaolazimisha iwe hivyo. Na nnachosema nna uhakika nacho wala sizungumzi ili mradi, mtu kuwa na saut ya ke, kutembea na umbo wala sio indicator ya Gay, jua kabisa n hormonal products, sasa n uamuzi wa muhusika kujua mlengo wake uko wapi, na sio watu waka hitumisha hivyoo mmmmh,
Huko ulaya watu hawwchukulii uzito san hili suala, it seems muhusika anajua the way him are,
Sasa huku kuna logic za hovyooh unakuta mtu ana elements tofaut na jinsia yake, ila hafany mapenzi ya ya jinsia 1, lakin jamii inamchukulia negative way, kumbe uhalisia n tofauti.
Tuache fikra potofu na mtazamo hasi juu ya Genes za watu.
Hata km ikiwa hivyo wee una athiriwa na nini? Poleeeeeeh sanaaa.Unajua kwasababu na ww ni punga tena wa kujitakia,usisingizie homon imbalance
Najua ndiyo.Duu...kwahyo wewe ndy unajuwa uhalisia sio?
ExactlySawa mkuu
Ila mnakosea sana kuwa kuhukumu watu ambao hamuwajuhi vizuri.Yupo mmoja jina linaanzia J..aisee..nilimsikiliza sauti yake kwenye kipindi redio fulani cha kuchamba wanawake ,aisee!..hapana mwanaume kamili haongei vile,,yupo na mmoja anajiita doctor nae mapozi yake sio ya u rijali,, lazima wanaumizwa tu....hakuna jinsi
Hapana ifike wakati sasa Jamii iwe na Elimu kuhusu masuala ya Ujinsia, kuepusha hii dhana potofu na mitazamo hasi juu ya wahanga wa hili suala.Exposure ikikosekana watu wanajiropokea tu bestie.
Asalaleeeee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sawa kaka nakuombea uhai kwenye nyama damu na mifupa
Ndio nan huyu wadau?
Sawa mkuu,,,Najua ndiyo.
Mkuu kama huwezi kuwatambuwa hawa MASHOGA,,basi usipingeIla mnakosea sana kuwa kuhukumu watu ambao hamuwajuhi vizuri.
Of course siwez kuwatambua hadi nikutane nao liveMkuu kama huwezi kuwatambuwa hawa MASHOGA,,basi usipinge
Nakuonea huruma mtt wa kiume kupumuliwa kisogoni manHata km ikiwa hivyo wee una athiriwa na nini? Poleeeeeeh sanaaa.
Wee mwenyewe hujionei huruma ndo uonee wenzio? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aseeeeeeh kuna vichekesho San, weeee deal na maisha yako hatujuani humu lol.Nakuonea huruma mtt wa kiume kupumuliwa kisogoni man
Tena uache mazoea ya kuniquote pungasese wewe [emoji849][emoji849][emoji849]Wee mwenyewe hujionei huruma ndo uonee wenzio? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aseeeeeeh kuna vichekesho San, weeee deal na maisha yako hatujuani humu lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaaaaaaaax, weeee vepeeeeh lol, kwa kipi sasa niku quote? Kaaaa kwa kitulia tyuuuh hakna namna.Tena uache mazoea ya kuniquote pungasese wewe [emoji849][emoji849][emoji849]