Eti bagamoyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]...kule Kuna mazombie walking dead[emoji51][emoji51][emoji51][emoji37][emoji37]Nilisikia bagamoyo na kigoma Ndo kiboko au
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dukani ana ndoo nyingi[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]....walisema fans wake!
Hivi zile ndoo dukani kwake ni za nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Lulu nae kwisha habaree yake!...hana tena raha maskini!Sio gundu binamu , Yule akili hana , Mara Mia lulu kidogo , ingawa na yeye kaamua kuolewa yan atadoda, Yule angendelea tu kuwa single angedanga mpaka nchi za nje, kangekua mbali , Ila si haba atleast , maana anaishi maisha mazuri Hana shida , Ila still angekua na uwezo wa kuwa mbali zaidi
Lulu angetaka kufanikiwa xaidi angeachana na mambo ya ndoa, coz she is a star , na lulu Ana nyota kali na mzuri , angepiga madili ya maaan, Sasa kamuona majini Ndo tajir mxieew akaamua kujifunga
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa tandale si ndo kwa baba watoto wake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...anataka iwe rahisi kuonana!Isikute Ndo hiriz za kuvutiwa wateja, halafu pachafu, yan ustaa wote na uzuri wote anaenda kuweka duka tandale jaman , bongo hakunaga Staa mwenye duka masaki zaidi ya jacky mengi , yan wengi wanakimbilia sinza na kinondon halafu et wanajiita mastaa , mxiew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti bagamoyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]...kule Kuna mazombie walking dead[emoji51][emoji51][emoji51][emoji37][emoji37]
Kigoma sijui, Ila Tabora uhakika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tandale si ndo kwa baba watoto wake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...anataka iwe rahisi kuonana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaahaaaaaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unanitaka au ? Pesa unazo au unaleta mdomo mxieew , kwanza wanaume mnaoingia celebrities forum hamna, si bora nikadange jamii intelligence au jukwaa la siasa[emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakai huko Ila kwa wiki lazima aende kama mara 3 hivi, si ndo kwao?Kwan anakaa tandale siku hiz
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda shost nyota ing'are upyaa...kitaa/ job wachawi kibao, bila kujisafisha utajikuta una mikosi kama ya matunguli kunibamba[emoji51][emoji51][emoji16]Et mazombie mimecheka binamu , loh .bas tabora pananihus[emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
ally remtullah na sheria ngowi wanaduka masaki, binamu unasahau vipi?Isikute Ndo hiriz za kuvutiwa wateja, halafu pachafu, yan ustaa wote na uzuri wote anaenda kuweka duka tandale jaman , bongo hakunaga Staa mwenye duka masaki zaidi ya jacky mengi , yan wengi wanakimbilia sinza na kinondon halafu et wanajiita mastaa , mxiew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipe jina lake IG ni mnyapie nyapieKijana mwingine hvi alivumaga sana Ila sasa hvi Hana jipya, maana Hana akili, wala kipaji , wanapenda kuwa wote na tunda, Mara nyingi wanadanga wote, sura anayo Ila akili tu ndo hana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unanitaka au ? Pesa unazo au unaleta mdomo mxieew , kwanza wanaume mnaoingia celebrities forum hamna, si bora nikadange jamii intelligence au jukwaa la siasa🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haaaahaaaa [emoji1787][emoji1787]...huko tumeshatoka myNaona mnamuongelea zari acha nipite[emoji125][emoji125]njaa kali jua limekolea aah natunza mapovu mie
Zote zake ile sindio alinunuliwa na domo ila sijaiona labda anaendasha mama ake